Urafiki Na Mume wa Mtu!!!!!!!!!

Mmh ndo mwanzo wa kuwa hz companion hapo ss na that is hatar kdg

Ila al in al ntakupima kwnza kama we mkali kulko mm hell nah stay away frm hm ila kma wa kawaida sana poa subirien tu hyo jam ipungue
 
Huyo anakulia timing tu...siamini kama hatakuja kuomba kidude. Urafiki na mume wa mtu haufai. Jiweke kwenye nafasi ya mke wa huyo jamaa...kama wewe ndo mke wake utafurahi jamaa akiwa na company na mdada mwingine? Kwangu mimi it is not OK.
 
As long as naweza kupata access ya Paw wangu anytime akiwa na huyo rafiki yake wa kike, na naruhusiwa kuhang nao ama kupop in anytime i want. He can have all the lady friends he want in the whole universe. Ila sio akienda kummeet AshaDii ndo nikipiga simu haipokelewi utasema wanajadili hatma ya chadema masalia, ama nikiuliza mko wapi nije kula kuku napandiwa hewani kama mwehu, hapo patachimbika. I have male friends na sina uhusiano nao. Naye nategemea the same.
 
Last edited by a moderator:
Tena mie akicheza ndo nampokonya rafiki yake anakuwa wangu. Kama anajua shopping na sehemu zenye dealz za sale za kufa mtu, naomba namba yake fasta tunachukuana juu kwa juu. Mwanaume haibwi, anajiiba. Kwani.akiamua kuonana na wanawake kwa siri utazuia nini?
Jiweke kwenye nafasi ya mke wa huyo jamaa...kama wewe ndo mke wake utafurahi jamaa akiwa na company na mdada mwingine? Kwangu mimi it is not OK.
 

i beg to differ! urafiki huu si salama kwa ndoa zote mbili. intimacy chanzo chake ni kufahamiana kwa karibu. Unapokuwa karibu sana na binadamu wa gender nyingine ambaye si dada wala kaka mkawa mnakutana mara kwa mara uwezekano wa kuhamia stage nyingine ni mkubwa. anachoongelewa mtoa mada ni sawa kabisa na kuuliza je kisu kikiwa karibu na mnofu wa nyama kikawa karibu kabisa mara kwa mara hakiwezi kukata mnofu? hicho kidude ambacho hajaomba ni kwa sababu muda haujafika ataomba tu. So I would say urafiki huo usiruhusiwe kustawi sana.... pana hatari.

Hatari gani? inaweza hata ikaathiri performance ya pande zote mbili wakati wa lile zoezi nyeti kwa yeyote kati yenu kuweka mwili kwenye ile theatre ya usiku na kumbe roho ikawa nje. Hili huzaa kitu kinaitwa frigidity--and it is not healthy at all. So? I'd say NO... punguza kumzoea sana huyu rafiki yako wa jinsia tofauti nje ya ndoa. That relationship is not safe.
 
tatizo tumezoea tukiona manyoya tanajua tayari ameshaliwa huyo
 
binafsi sioni kama ni tatizo. kama mme au mke akiamua "kucheat" atafanya hivyo na wala hawana haja ya
kusubiri wajifanye marafiki wa karibu hadharani.

kwa mtazamo wangu wanaume huwa tunaamini kwamba sisi tunaweza kuwa na rafiki wa kike biléa kudoo naye
na tunakuwa na wasiwasi sana mke akisema yeye anarafiki wa kiume lakini hawadoo.

naamini upande wa pili nao upo hivyo hivyo yaani wanawake wanajiamini wanaweza kuwa na rafiki wa kiume bila kudoo
lakini hawawaamini waume zao kama wanauvumilivu tosha wa kuwa na rafiki wa kike bila kudoo.

hivyo pande mbili zikiaminiana basi watu wanaweza dumisha urafiki na jinsia tofauti bila kumpa presha mwenza.
 



Ngoja nikuulize, since he's super nice to you, je akikuomba itakuwa kosa? Maana wengi wetu tunaanzaga hivi hivi, mara ofa ya mihogo ya kukaanga, kuku chips, huku tukisifia wake zetu kutaka kuona your reactions then ukishatuzoea ndipo tunaomba kitumbua cha nazi. Mazoea mabaya dada yangu, utakuja jikuta unatoa tu tena kwa huruma ila tu nakusihi usijizoeshe na vya nje kwani vya kuibia ni vitamu zaidi.
 
Haujzidi sasa bado!!!!!!!!

lara 1
Ni vema kama haujazidi,,ila mbona hujatupa feedback ilikuwaje kwenye kikao cha familia juu ya mafanikio yako ya mwaka 2012,,sipati picha ulisema nini?
 
Last edited by a moderator:

Hapa ni jamaa tu! Siku akiomba sioni kama una sababu hata moja ya kumnyima (Unamkubali kwa kila kitu), That is the Issue hatuwezi kuacha kugusia tunapojadili hili swala. Nakutakia Mwaka Mpya Mwema 2013 Ukiwa Mbali na Mme wa Mtu.
 
As long as the marriage is in good health, then it's okay. Tatizo ni wakati the marriage is on rocks, hiyo kampani inaweza kugeuka 180degrees.
 
Hamna ubaya mradi tu isiwe too much everywhea mko pamoja, mbaya ni ile kunakua na mixture ya urafiki na kumezeana mate lol!
 
Haina neno kabisa, halafu unanifurahisha unavyojenga hoja sijui zawadi ya mwaka mpya nitakupaje!
 
lara 1
Ni vema kama haujazidi,,ila mbona hujatupa feedback ilikuwaje kwenye kikao cha familia juu ya mafanikio yako ya mwaka 2012,,sipati picha ulisema nini?

Hahahaaaaaaaaaa! Kikao tarehe 2!!!!! Bado natafuta pa kuchomokea maana sina la maana la kusema!!!!!!!!
 
Hapa ni jamaa tu! Siku akiomba sioni kama una sababu hata moja ya kumnyima (Unamkubali kwa kila kitu), That is the Issue hatuwezi kuacha kugusia tunapojadili hili swala. Nakutakia Mwaka Mpya Mwema 2013 Ukiwa Mbali na Mme wa Mtu.

Ataomba kwa grounds zipi wakati tayari kaniambia ana mke na mtoto na anampenda mkewe!!!!!!!!!!? Sasa ataniomba kwa grounds gani manake ya upendo haipo iko kwa mkewe, ya tamaa tumejuana abt 3 years kama tamaa ziliexpire, ya kujiburudisha alishasema sio lengo lake!!!!! Lengo company tu!
 
nyie sio tatizo ila hizo bia ndio zinashida,walah kuna siku mtakutanisha vidude bila kujitambua afu mtasingizia shetani,ohh!!
 
Haina neno kabisa, halafu unanifurahisha unavyojenga hoja sijui zawadi ya mwaka mpya nitakupaje!

Umeonaaaa! Hata wanaobisha hawana hoja za msingi za kubishia!
 
nyie sio tatizo ila hizo bia ndio zinashida,walah kuna siku mtakutanisha vidude bila kujitambua afu mtasingizia shetani,ohh!!

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa! Joints tunazokunywa hazina Guest walam lodge! We will be safe! LOLEST!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…