Upweke

Wadhungu wanasema
"An Idle Mind is a devil's workshop"
Wahenga wanasema
"Mwenda bure,si sawa na mkaa bure""

Upweke ni makazi ya shetani ni hatari sana kukaa mpweke apo ndipo utajishawishi kupiga nyeto,,Kubaka kuku,,kujinyonga,,Kuiba kukaa mpweke ni hatari sana Nakumbuka JKT kuruti mmoja aliuliza "Afande lengo hasa la Kuleta vijana JKT baada ya kumaliza form6 ni nini"" Afande akasema "Ukiuliza ilo swali wote watakwambia ni kufanya vijana wawe wakakamavu na kuwafundisha uzalishaji mali lakini Lengo kuu hasa ni kuwaepusha Vijana na UPWEKE Ndiomaana tunawapa doso na tunawaachia mda wa chenja muimbe wee na morali kama yote ili mfurahi msijione wapweke"" Mwisho wa kunukuu Upweke ni Ugonjwa,,Upweke ni hatari,,Epuka kukaa mpweke
 
😃😃😃😃
 
Tunaepukaje mkuu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom