Upweke Utaniua

ACHA UJINGA WEWE SIO MPWEKE ILA UNA UPWIRU MIMI NINA 32 MWAKA HUU NA SIO MPWEKE FOCUS KWENYE MICHONGO YAKO WE BADO BWANA MDOGO SANA FOCUS ON YOUR STUDY WASIKUPE HEADACHE MADEMU PIGA KWANZA KITABU
 
ACHA UJINGA WEWE SIO MPWEKE ILA UNA UPWIRU MIMI NINA 32 MWAKA HUU NA SIO MPWEKE FOCUS KWENYE MICHONGO YAKO WE BADO BWANA MDOGO SANA FOCUS ON YOUR STUDY WASIKUPE HEADACHE MADEMU PIGA KWANZA KITABU
Jitahidi kusoma na uelewe kabla ya ku-comment, nani kasema mimi ni mwanafunzi ?
 
Kijana mdogo ushapata kazi ya udereva..sisi tuna miaka mingi na tunazitafuta hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…