Kwanza tuelezee Bandari yetu iliuzwauzwaje?! Cheki na Hamza JohariHabari wakuu
Sina mengi ya kusema nilikuwa nahitaji marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo.
Umri wangu ni miaka 21 soon I'll be making 22, elimu yangu kidato cha sita, kazi nimeajiriwa dereva, dini muislam.
Nahitaji msichana umri kuanzia miaka 18 na kuendelea, mengine sijali
Nguvu moja [emoji881]
Ukipata wengi nitumie mmojaHabari wakuu
Sina mengi ya kusema nilikuwa nahitaji marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo.
Umri wangu ni miaka 21 soon I'll be making 22, elimu yangu kidato cha sita, kazi nimeajiriwa dereva, dini muislam.
Nahitaji msichana umri kuanzia miaka 18 na kuendelea, mengine sijali
Nguvu moja [emoji881]
Au sio, ko bimkubwa una muaga uko kazini.Hizi bahati za mashangazi mbona mimi hua sizipati....🤣.... mkuu namimi nina miaka 22, nikutumie picha...😜
Asa pole ya nini [emoji28]pole mkuu
upweke na sonona😂Asa pole ya nini [emoji28]
[emoji28][emoji28]Au sio, ko bimkubwa una muaga uko kazini.
[emoji117]Kumbe una tafuta mashangazi [emoji849][emoji848]
khaaa [emoji2296]Kwanza tuelezee Bandari yetu iliuzwauzwaje?! Cheki na Hamza Johari
Mzee wangu Ushimen kaanza ulofaa😂😂[emoji28][emoji28]
Upweke sio kitu kizuriUsikonde mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28]Hizi bahati za mashangazi mbona mimi hua sizipati....[emoji1787].... mkuu namimi nina miaka 22, nikutumie picha...[emoji12]
Tuma na wewe picha na cheti za kuzaliwa tuone kama kweli unamiaka 22, [emoji28][emoji28]Hizi bahati za mashangazi mbona mimi hua sizipati....[emoji1787].... mkuu namimi nina miaka 22, nikutumie picha...[emoji12]