Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,449
- 10,761
Waislam bwana sasa miaka 21 unatafuta majukumu kazi ya udereva unamuendesga Kanji Bhai. Tulia tafuta hela na ujijenge kimaisha. umenunua sabufa tayari akili imeoza na nyege.Habari wakuu
Sina mengi ya kusema nilikuwa nahitaji marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo.
Umri wangu ni miaka 21 soon I'll be making 22, elimu yangu kidato cha sita, kazi nimeajiriwa dereva, dini muislam.
Nahitaji msichana umri kuanzia miaka 18 na kuendelea, mengine sijali
Nguvu moja [emoji881]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu jana ulisemajee? Afu muambie CW asijisahaulishe nasubiri mie hapa.
Mtoto wa Ifisi...[emoji28][emoji28] Esther wa baba Jose
Hata Esther ni Great Sinker kama weweSometimes being a great thinker is a God given talent
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muitee harakaa CW akujee, anatuachajee tudodee weekend km hiviii??Hivi nilitaka kukwambia unitumie namba nikurushie udugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sina longolongo
CW aje atupe pesa ya saloon kwanza mwanamke matunzo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tushapitia hayo, kipindi niko o'level nilikua kijana mpole sana.Una kitu mkuu, utafika mbali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waislam bwana sasa miaka 21 unatafuta majukumu kazi ya udereva unamuendesga Kanji Bhai. Tulia tafuta hela na ujijenge kimaisha. umenunua sabufa tayari akili imeoza na nyege.
[emoji28][emoji28][emoji28]nawawekea tu harakati zao sifanyi[emoji28]
Sio vizuri kuwakana wenzio [emoji28]nawawekea tu harakati zao sifanyi[emoji28]
Pole totooMaisha yana mengi sometimes it's not all about age
haya basi nisaidie niache😂Sio vizuri kuwakana wenzio [emoji28]
Kwanini usitafute wa mitaani kwenu?Habari wakuu
Sina mengi ya kusema nilikuwa nahitaji marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo.
Umri wangu ni miaka 21 soon I'll be making 22, elimu yangu kidato cha sita, kazi nimeajiriwa dereva, dini muislam.
Nahitaji msichana umri kuanzia miaka 18 na kuendelea, mengine sijali
Nguvu moja [emoji881]
Kama ni urafiki wa kawaida, mbona unataka wanawake tu?Umuhimu wake ni upi, elewa ni urafiki wa kawaida