Moto wa dunia ni huu!

Moto wa dunia ni huu!

Ndoa ni janga linalolitesa dunia.hapa ni maafa tupu hakuna jema.ndoa ni laana tupu hamn jipy. nazidi kukataa ndoa daima.utapel huu siutaki.
Unaruhusiwa kukataa ndoa wewe binafsi, lakini ukishaanza kuingia huko kwenye kuisema kuwa ni laana na kuisiliba hivyo, hapo inawezekana unaonesha matatizo ya kisaikolojia yako mwenyewe kutokana na uzoefu wako binafsi wa machungu kwenye ndoa.

Kwa maneno mengine tatizo linaweza kuwa kwako wewe zaidi ya ndoa.

Labda hujachagua mwenza vizuri, labda uko katika jamii ya kuwindana sana, labda huna uwezo wa kukaa kwenye ndoa.

Kwa sababu wapo walioishi kwenye ndoa vizuri tu.
 
Ukiona ndoa imetulia basi kuna mmoja hatumii akili
 
Kuna muda ukisoma mada za vijana,unabaki kujiuliza "ni mfumo gani wa maisha wanaupenda ambao unawapa uhuru wanaoutaka?" Maana kama hamtaki ndoa na bado mnataka kufanya ngono na mabinti wa watu na kuishia kuwajaza mimba,then mkirudi hapa mnawananga single mother! Je wewe ni wao nani hamnazo? Kizazi kinatengenezwa na sisi kwa maneno,matendo na matashi yetu. Kwenye kila maamuzi unayofanya,jiulize unajenga kizazi gani,tafakari taifa bila ndoa linakuwaje mwandugu? Badala ya kuendelea kuilalamikia taasisi ya ndoa anza kujichunguza wewe kama unaiweza ndoa.
 
Ukiona ndoa imetulia basi kuna mmoja hatumii akili
Hiyo ni misemo ya watu wa tamaduni za kuwindana. Mara nyingi watu masikini wenye poverty anxiety. Wana anxiety ya umasikini kila kitu wanaona wanawindwa tu.

Au watu wasioweza ku moderate emotions zao, kila kitu ugomvi, mashindano, kutaka ku dominate others.

Mshazoea kila kitu mnawindana mpaka kwenye ndoa, hamuelewi watu wanaweza kupendana wakakaa pamoja vizuri tu.

Au watu wawili wenye akili wanaweza kukaa pamoja kwenye ndoa wakawa na mutual benefit.

Na hata mtu akiamua kujitoa akili kwenye ndoa, hiyo ni haki yake ya kibinadamu na kikatiba. Haiwahusu.
 
Unaruhusiwa kukataa ndoa wewe binafsi, lakini ukishaanza kuingia huko kwenye kuisema kuwa ni laana na kuisiliba hivyo, hapo inawezekana unaonesha matatizo ya kisaikolojia yako mwenyewe kutokana na uzoefu wako binafsi wa machungu kwenye ndoa.

Kwa maneno mengine tatizo linaweza kuwa kwako wewe zaidi ya ndoa.

Labda hujachagua mwenza vizuri, labda uko katika jamii ya kuwindana sana, labda huna uwezo wa kukaa kwenye ndoa.

Kwa sababu wapo walioishi kwenye ndoa vizuri tu.
Mkuu takwimu za ndoa kuvunjika na wanaokataa kuoa au kuolewa imekuwa kubwa sana, Zama siku hizi zimebadilika, watu wanahamasisha sana ngono, humu jamii forum, na majukwaa mbalimbali mengi yanahamasisha ngono, wanawake wanabadilishana ngono kwa pesa na wanaum.

Siyo watoto, siyo vijana, wala wazee, ngono inahubiriwa kwa kasi kubwa kuliko chochote, ukisikia tafuta pesa basi ni kwaajili ya ngono, siyo kwaajili ya kujenga maisha bora ya kuishi kulea familia na kusaidia wenye mahitaji. Sasa hivi kataa ndoa, ishi maisha ya kumpendeza MUNGU, hiyo ndo slogani kwa wanaoheshimu maadili bora.
Sasa hivi hakuna jipya zaidi ya ngono, imeshamiri sana, ukiikemea unaonekana mbaya.
 
Kama ulioa kwa kutizama makalio sura na shape uchumba wenyewe wa week tatu ni haki yako kulalamika.

Usiolee tamaa,oa kwa sababu unayemuoa anakidhi viwango vya kuwa mke wa kuishi nae na baada ya kumchunguza sana siyo unaokota okota tu.
 
Mkuu,

Takwimu hazithibitishi ndoa ni kitu kibaya. Zinaweza kuthibitisha jamii inajiachia sana, jamii ina ujinga mwingi sana. Jamii ina uongo mwingi sana. Jamii inazidisha uasherati sana.

Sasa hayo yote ni matatizo ya watu, si matatizo ya ndoa.

Ndiyo maana nikasema una haki ya kukataa ndoa wewe kama mtu binafsi, lakini kusema ndoa ni laana, ni mbaya, unakwenda mbali.

Kwa sababu kuna watu wanadumu kwenye ndoa mpaka kifo kinawatenganisha.

Na inawezekana hapo unaelezea tatizo la igumu wa kumpata mtu mzuri wa kukaa naye kwenye ndoa. Lakini hilo ni tatizo la kumpata mtu mzuri wa kukaa naye kwenye ndoa, si tatizo la ndoa yenyewe kama taasisi.

Na hapo ndipo utakuta katika malalamiko yote haya ya matatizo ya ndoa, kuna watu wanaoa na kuolewa na kudumu katika ndoa.
 
Ifike kipindi ambao ndoa zenu zinawaendea poa na nyie muanze kushusha sredi, okoeni kizazi kijacho cha JF binafsi siamini kama ndoa ni mbaya kiasi cha kuita moto wa dunia
Na Vifo vya kuuana wanandoa ndio vijana wanazidi kukimbia
 
Mkuu,

Takwimu hazithibitishi ndoa ni kitu kibaya. Zinaweza kuthibitisha jamii inajiachia sana, jamii ina ujinga mwingi sana. Jamii ina uongo mwingi sana. Jamii inazidisha uasherati sana.

Sasa hayo yote ni matatizo ya watu, si matatizo ya ndoa.

Ndiyo maana nikasema una haki ya kukataa ndoa wewe kama mtu binafsi, lakini kusema ndoa ni laana, ni mbaya, unakwenda mbali.

Kwa sababu kuna watu wanadumu kwenye ndoa mpaka kifo kinawatenganisha.

Na inawezekana hapo unaelezea tatizo la igumu wa kumpata mtu mzuri wa kukaa naye kwenye ndoa. Lakini hilo ni tatizo la kumpata mtu mzuri wa kukaa naye kwenye ndoa, si tatizo la ndoa yenyewe kama taasisi.

Na hapo ndipo utakuta katika malalamiko yote haya ya matatizo ya ndoa, kuna watu wanaoa na kuolewa na kudumu katika ndoa.
Ndoa haiwezi kuwa na maana halisi kusipokuwa na jamii inayoheshimu maadili bora na misingi ya ndoa, hiyo jamii kwasasa haipo, hapo ndipo ninapozungumzia ndoa, ndipo ninapozungumzia takwimu. Kuna maana gani basi nikisema ndoa ipo wakati 90% ya watu, wanaidharau?

Mfano mzuri kwenye maandiko Katika kitabu cha mwanzo, enzi za na bii ruth wa sodoma, MUNGU alisema anaenda kuiangamiza sodoma, lakini ndani ya sodoma kulikuwa na watu wema, je MUNGU angeuspare mji wa sodoma kwasababu wa watu watano? Fikiria sana mkuu, sizungumzii neno ndoa, nazungumzia mass responsibility ya ndoa, hicho ndo kitu cha msingi sana.

Unaweza kufanya jambo la maana, kuzuia tamaa mbaya za ngono na kuishi maisha ya kumpendeza MUNGU, je hilo silo jambo la maana kuzidi ndoa? Mimi nafikiri hata mtoa mada angebase sana kukemea uzinzi, uasherati na tamaa mbaya za kimwili, hizo ndo zinabomoa ndoa nyingi sana zama hizi, Lakini kwa upande mmoja yupo sahihi.
 
Kama ulioa kwa kutizama makalio sura na shape uchumba wenyewe wa week tatu ni haki yako kulalamika.

Usiolee tamaa,oa kwa sababu unayemuoa anakidhi viwango vya kuwa mke wa kuishi nae na baada ya kumchunguza sana siyo unaokota okota tu.
Hakuna jambo jipya mkuu kwenye hii dunia, kuwa uyaone.
 
Ndoa haiwezi kuwa na maana halisi kusipokuwa na jamii inayoheshimu maadili bora na misingi ya ndoa, hiyo jamii kwasasa haipo, hapo ndipo ninapozungumzia ndoa, ndipo ninapozungumzia takwimu. Kuna maana gani basi nikisema ndoa ipo wakati 90% ya watu, wanaidharau?

Mfano mzuri kwenye maandiko Katika kitabu cha mwanzo, enzi za na bii ruth wa sodoma, MUNGU alisema anaenda kuiangamiza sodoma, lakini ndani ya sodoma kulikuwa na watu wema, je MUNGU angeuspare mji wa sodoma kwasababu wa watu watano? Fikiria sana mkuu, sizungumzii neno ndoa, nazungumzia mass responsibility ya ndoa, hicho ndo kitu cha msingi sana.

Unaweza kufanya jambo la maana, kuzuia tamaa mbaya za ngono na kuishi maisha ya kumpendeza MUNGU, je hilo silo jambo la maana kuzidi ndoa? Mimi nafikiri hata mtoa mada angebase sana kukemea uzinzi, uasherati na tamaa mbaya za kimwili, hizo ndo zinabomoa ndoa nyingi sana zama hizi, Lakini kwa upande mmoja yupo sahihi.
Mkuu,

Wewe na 90% ya wanafunzi wenzako darasani mkifeli, halafu 10% wakafaulu, utasema kufaulu kulikuwa hakupo, hakukuwezekana?

Au utajitafakari kuangalia wale 10% walifanya kipi tofauti na wewe na kuweza kufaulu katika mazingira yaleyake kama wewe?

Habari za Mungu tuziache, hata nikikwambia uthibitishe Mungu yupo hutaweza.
 
Tayari umeshastuck somewhere.

nyakati zitafika hata wewe mwenyewe utakuja kulaani ndoa, hiyo siku ikifika, utapata majibu kwamba, ulikuwa unazungumzia neno ndoa, au mass responsibility ya wanandoa.
 
Hata mimi nikilaani ndoa, hilo halimaanishi ndoa ni mbaya, huelewi wapi?

Kuna ugumu gani kuelewa kuwa kuna watu hawapendi mpira, lakini hilo halimaanishi mpira ni mbaya?

Kwa nini mnataka kulazimisha dunia nzima ifikiri kama mnavyofikiri nyie, bila kutambua kuwa kuna watu wako tofauti na nyie?

Hiyo ndoa ni mbaya dunia nzima unataka kusema?

Maana inawezekana ndoa ni mbaya hapo mlipo nyie, na nyie hamna uwezo wa kuondoka hapo, na kwa hiyo hili ni tatizo la nyie kuweza kuondoka hapo mlipo, si tatizo la ndoa.
 
Back
Top Bottom