Upuuzi wenu akina Mo Dewji, CEO Barbara, Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu ndiyo unatufanya wana Simba SC tuteseke, Kesho mtanitambua hapa JF

Mugalu kawaambia Mashabiki wa Simba wote ni Wanafiki.
We Muongoo hiyo sio official account ya Mugalu. Kuna siku aliwahi kuikana hiyo account kupitia account ya Morrison akasema hiyo sio account yake. Ngoja nizisake screenshot zake nizilete hapa.

Na leo Simba wametoa Tangazo wamesema ile sio account ya Mugalu. Mugalu hana account insta
 
Mkuu Mightier kuna uzi wangu unakutaka uujibu naona umeukimbia🤣🤣🤣🤣
Katika huo Uzi Wadau wamesema kuwa hii ID yako ya KAGAMEE ni Mimi Mightier je, umewajibu vipi labda katika Utetezi wako ambao nami pia nausubiri kwa hamu mno Kuuona?
 
Katika huo Uzi Wadau wamesema kuwa hii ID yako ya KAGAMEE ni Mimi Mightier je, umewajibu vipi labda katika Utetezi wako ambao nami pia nausubiri kwa hamu mno Kuuona?
😂😂😂😂naomba utumie UMOJA pls maana aliyedai hivo ni mtu mmoja tu na siyo WATU kama unavodai.Mtu huyo nmemuelewesha kama huyo siyo mimi bali ni mimi ila hajaonekana kuelewa pengne ni muhanga aliyepuliziwa VUMBI LA KONGO ambalo nahisi limevuruga kichwa chake pia.Unasema una hamu ya kuuona UZI?Hizo comments umezipata wap sasa kama hujauona?Mbna umerudi na uelewa mdogo mkuu umepatwa na nini?

Nashukuru umerudi,Karibu kwenye uzi sasa.
 
Katika huo Uzi Wadau wamesema kuwa hii ID yako ya KAGAMEE ni Mimi Mightier je, umewajibu vipi labda katika Utetezi wako ambao nami pia nausubiri kwa hamu mno Kuuona?
Wewe pashkuna bado hujatoka mafichoni,au tumtume Mayele akutoe huko?
 
Kuwa na safari nyingi za kibiashara ni sababu isiyo ya kweli; ukweli inaweza kuwa kuna mgongano wa kimaslahi kwa sababu haiwezekani mwekezaji ni wewe; mwenyekiti na wewe.. manadiliko yatafanyikaje
 
Back
Top Bottom