Upungufu wa kinga za kiroho

You are right. Pia kuishi maisha ya dhambi huharibu sana kinga ya kiroho (nguvu ya Mungu) ktk maisha ya mtu.
 
Hakika wenye kinga thabiti ndio wanaopeta katika huu ulimwengu. Sema uchoyo umezidi kwani mpaka mtu akuambie siri ya kinga sio rahisi. Huenda kinga nyingi zina ushetani wa kutisha ndio maana inakua siri. Mf. Mtoto anaelia sana usiku mtu anakupa dawa ya kuweka karibu na kichwani na anakoma kulia, lakini hakuambii ni dawa gani. Nimeshuhudia sio kuambiwa, wachawi hawamsumbui tena.
 
Nimeusoma huu uzi na comments zake zote na nimeuwekea [emoji819] ....... kuna mambo ya msingi sana yameongelewa humu, thanks mhenga mwenzangu' Mshana jr kwa darsa adimu.
 
Nimeusoma huu uzi na comments zake zote na nimeuwekea [emoji819] ....... kuna mambo ya msingi sana yameongelewa humu, thanks mhenga mwenzangu' Mshana jr kwa darsa adimu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
mshanaaa....nakujua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…