Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,035
- 4,418
Kila mmoja wetu ana kipimo chake hapa duniani iwe kipato, umaarufu elimu hata vipawaMshana hivi Mungu wa wachina "wabudha" Mungu wa wakorea kaskazini "ukoo wa kim" na mungu wa wa Africa yupi mwenye nguvu,? Lkn pia vipi kuhusu Mungu wa walokole wakeshao makanisani usiku kucha wakimuomba Mungu wakati huo huo hali zao ki maisha ni mbaya unamzungumziaje?
Je, unawazungumziaje watu wasemao mafanikio yoyote hapa duniani yanategemeana na uelewa na maarifa ya mtu?
Kuna mhubiri mmoja alidiriki kusema nanukuu: "its not about halelujah halelujah... Its all about possessing understanding and how things work. " mwisho wa kunukuu
Asante , Japo hapo kwa taifa teule mimi huwa sielewi kabisa, especial jinsi wanavyo wachukia watu weusi wanaoishi katika taifa lao teule.Kwa uelewa wangu dini ni utaratibu aliojiwekea mwanadamu katika kuboresha namna ya kumcha Mungu, ndiyo maana unakuta baadhi ya dini kuna madhehebu zaidi ya moja na hii ni kutokana na mshiriki mmoja kuona mwingine hafanyi sawa sawa katika kuishiriki imani wanayo iamini.
Kwa vile wewe umesema ni mKristo, ukisoma Biblia waraka mmoja wapo wa mtume Paulo unaona wazi anaelezea taratibu za dini ya imani fulani nje ya kumjua Mungu Muumba mbingu na nchi, kwamba dhamiri zao ndiyo zilikuwa zikiamua kama ameiharifu ile sheria ya imani yao au laa, na kama ameiharifu basi anahukumiwa kutokana na hiyo.
Lakini angalizo linalotolewa ni kwamba, kama umesikia habari njema na kutochukua hatua, huna tena udhuru, ni bora usinge sikia.
Swali ni kwamba kwa nini waAfrika tusiendelee na imani zetu kama hapo awali kabla ya hizi dini za nje kuja? Kwa upande wangu nadhani hii hutokana na ubora wa elimu inayotelewa na weledi wa hao waalimu wenyewe wanaofundisha juu ya imani au dini husika.
Lakini ukirejea kwenye kitabu kinachokupa mwongozo unaona kuwa kuna taifa teule ambalo Muumba mbingu na nchi ameliteua ili kupitia hilo mataifa yote ulimwenguni yapate kumjua Mungu wa Kweli na kuamini imani sahihi. Kwa ufupi tu niishie hapa.
Kwanza ujue wazi kuwa taifa teule haina maana wao hawakosei au hawana mapungufu, nao ni wanadamu kama sisi tu. Pia kuna sehemu inasema wazi kwamba Israel si kwamba yeye ni mwema sana au anahaki sana ila Mungu amempenda na kumchagua, na zaidi sana imeandikwa kuwa hawa jamaa wana shingo ngumu!Asante , Japo hapo kwa taifa teule mimi huwa sielewi kabisa, especial jinsi wanavyo wachukia watu weusi wanaoishi katika taifa lao teule.
kama unasema dini sasa ni utaratibu tuliojiwekea namna ya kumcha Mungu, basi naona haya makanisa ya wazee wa upako, kina Gwajima nk yanahubiri upendo kuliko haya makanisa ya kizamani.
Ningependa siku moja haya makanisa yafundishe watu upendo, wa ki Mungu, wafundishe kumcha Mungu wa kweli, kutii kanisa la kweli (MWILI) kuheshim miili yetu kwa kuilisha na kuinywesha vyema(sio pombe) Kutendea wengine vile ungependa kutendewa, uwongo uwongo makanisni ni mwing, majungu majungu, umbea na kusema sema watoto wa kike vibaya. Huwa napata shida sana kuelewa kwa nini haya baadh ya makanisa wanaaminisha waumini wao wamwone Mungu kama jitu katili?! Mungu atatuchoma na moto jehanam? mkuu kweli moto? Mimi naona moto upo hapahapa duniani, kila tulitendalo jema au baya huturudia katika maisha yetu.
Na hapo kwa Wa Africa na dini zetu, mimi naona Wa Africa tuna imani sana katika Mungu wetu, ila sasa ndio sijui tunaamini katika dini za wengine, labda ndio mambo ya ukoloni wenyewe
Kwanza ujue wazi kuwa taifa teule haina maana wao hawakosei au hawana mapungufu, nao ni wanadamu kama sisi tu. Pia kuna sehemu inasema wazi kwamba Israel si kwamba yeye ni mwema sana au anahaki sana ila Mungu amempenda na kumchagua, na zaidi sana imeandikwa kuwa hawa jamaa wana shingo ngumu!
Halafu pamoja na wao kuwa taifa teule, dini ya kiKristo kwao ipo kwa uchache sana ukilinganisha na huku kwetu au kwenye mataifa mengine. Wao dini ya kiyahudi ina wafuasi wengi zaidi na kwa sehemu kubwa wanaongozwa sana kwa sheria na wanafuata sana Agano la kale.
Wewe jitahidi tu kusimamia unachokijua na kukielewa, kila mtu na kiasi chake, usipate taabu na mtu mwingine sababu na yeye anayo mapungufu mengi tu. Wala usitishwe na majina ya mlokole, nabii, wa upako nk, kipimo cha mtu anaye kijua ni Mungu Mwenyewe
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu ukisema nisipate taabu na mtu mwingine si ndio uchoyo wa maarifa huo, mi naona ni vema kila mmoja anapochangia anachokijua kisha kufikia muafaka kwa kushauriana ama kurekebishana.Kwanza ujue wazi kuwa taifa teule haina maana wao hawakosei au hawana mapungufu, nao ni wanadamu kama sisi tu. Pia kuna sehemu inasema wazi kwamba Israel si kwamba yeye ni mwema sana au anahaki sana ila Mungu amempenda na kumchagua, na zaidi sana imeandikwa kuwa hawa jamaa wana shingo ngumu!
Halafu pamoja na wao kuwa taifa teule, dini ya kiKristo kwao ipo kwa uchache sana ukilinganisha na huku kwetu au kwenye mataifa mengine. Wao dini ya kiyahudi ina wafuasi wengi zaidi na kwa sehemu kubwa wanaongozwa sana kwa sheria na wanafuata sana Agano la kale.
Wewe jitahidi tu kusimamia unachokijua na kukielewa, kila mtu na kiasi chake, usipate taabu na mtu mwingine sababu na yeye anayo mapungufu mengi tu. Wala usitishwe na majina ya mlokole, nabii, wa upako nk, kipimo cha mtu anaye kijua ni Mungu Mwenyewe
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
nimekuelewa sana ujue..nimewafikiria wale wanganga wanaagiza njiwa achinjwe, mara vifaranga, mara kuku anachinjwa damu ikiisha anazikwa yaanii nimekuelewaView attachment 614977
Tunatumia damu kurekebisha mambo yetu yakae sawa... Lakini wakati huohuo damu hiyo ni kitu hai, damu ina roho na unaichukua baada ya kuteketeza roho isiyo na hatia.. Huku ni kujiingiza kwenye maagano mabaya zaidi na vita ya kiroho amabayo mwisho wake huiacha roho yako ikiwa taabani kwa kipigo na kuondolewa kinga zake zote.... Vita huleta udhaifu
Kunywa kipapli bariiiiiiiiidi, kwani shs ngapi?Huku unawekewa mkono wenye unabii bandia, mkono wenye nguvu za kichawi, mkono wa kuzimu unachukua kinga yako halisi na kukuachia bandia
Unaenda kule unapewa kitambaa chenye upako feki unakitumia huku tayari una nguvu ile nyingine
Mara unaenda kupewa kichupa cha maji ya baraka, mara maombezi ya usiku kucha, unaichosha roho yako kwa kukaribisha wageni wane tofauti ambao kila mmoja anataka kukumiliki kiroho
Na mbegu yenyewe si jero [emoji26][emoji26][emoji26]Pamoja na kukuondolea kinga ya kiroho,wanakuacha maskini pia,maana vyote hivyo,maji,mafuta,chumvi,kitambaa,hawapewi bure inabidi ununue.wanaita kupanda mbegu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Bwana mtoa mada naona hii hali ya kutoa uzi mida mibovu unawafanya watu wanacomment huku wanausingizi hivi kweli leo hii wewe wakuitwa mtumishi wa Bwana?? Inamaana tunguli huna tena?? Anyway ngoja nivute shuka nlale
Kunywaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] jero
[emoji23][emoji23][emoji23]ana uganga wa kuzaliwaNakuapia kwa jina la Mwenyezi Mungu aliye hai sijawahi kushika hata tunguli kwa ajili ya kuagua