Upungufu wa kinga za kiroho

Upungufu wa kinga za kiroho

Mshana Jr, mi kinachonishangaza sana ni kwanini wa Africa hatuna IMANI zetu? Nikisoma badhi ya vitabu vya kiimani naona DINI na IMANI zote zinamtukuza Mungu...na kufundisha kuishi kama Mungu, kutenda matendo mema, kwako, kwa ndugu jamaana marafiki na jamii nzima, lakini zaidi MTU mwenyewe kujitendea matendo mema, ndipo awatendee wengine mema. Sasa nikiangalia U Kristo na U Wislam ni kama vyombo vya siasa tu, namaanisha havina maantiki yoyote ya Ki Africa, kila kilichomo ndani yake ni mambo ya kigeni.....Sio kwamba napinga hizi dini mbili kubwa lakini sioni mashiko yake kwenye uhalisia wa sisi Wa Africa.
Mfano mimi sioni shida kwa wale watu ambao wanasema hawana dini ila wanaamini mambo ya jadi kama mababu zetu, kutambiika kwajili ya kuomba mvua, maana hilo tambiko wanamwomba Mungu.
Ningependa maisha ya badae(in FUTURE) Waafrica waendeleze mila na dini zao, ili U kristo na U wislamu tuwaachie wenyewe.
mhhh naandika hii coment huku naogopa lakini, maana mimi ni muumini safi wa U kristo, japo kuna vifungu vya biblia napingana navyo.
 
kaka mshana jr, MUNGU ametupa nafasi ya kuzipima roho ili tujue kama zinatoka kwake au kwa shetani. tamaa za kuuneemesha mwili huu wa uharibifu zimetufanya tushindwe kupima roho kujua ipi ni kweli ipi ni upotofu. kaka mshana jr nisingependa kuweka wazi kila kitu hapa husije ukatokea mzozo wa kidini maana watu wamefungamanishwa na mila na itikadi za kidini kiasi cha kutotaka kuhisikia ile kweli wawe huru. vita ya kiroho haipiganwi kwa kutenda mema tu kwa watu bali kwa kumjua Roho wa kweli atokaye kwa MUNGU wa kweli ndio atulindaye katika vita ile ya kiroho. WAMUABUDUO MUNGU IMEWAPASA KUMUABUDU KATIKA ROHO NA KWELI NA SIO KATIKA MILA, MISINGI NA ITIKADI ZA DINI. dini ni njia ya mwanadamu katika jaribio la kumtafuta MUNGU lakini MUNGU alishauandaa na kuleta mpango wake wa kumtafuta mwanadamu cha ajabu mpango wa MUNGU kumtafuta mwanadamu tumeupiga teke kwa kuamini eti mpango wetu wa kumtafuta MUNGU(dini) ndio utatufikisha kwa MUNGU, hii ni hatari sana kaka mshana jr.
 
Mshana Jr, mi kinachonishangaza sana ni kwanini wa Africa hatuna IMANI zetu? Nikisoma badhi ya vitabu vya kiimani naona DINI na IMANI zote zinamtukuza Mungu...na kufundisha kuishi kama Mungu, kutenda matendo mema, kwako, kwa ndugu jamaana marafiki na jamii nzima, lakini zaidi MTU mwenyewe kujitendea matendo mema, ndipo awatendee wengine mema. Sasa nikiangalia U Kristo na U Wislam ni kama vyombo vya siasa tu, namaanisha havina maantiki yoyote ya Ki Africa, kila kilichomo ndani yake ni mambo ya kigeni.....Sio kwamba napinga hizi dini mbili kubwa lakini sioni mashiko yake kwenye uhalisia wa sisi Wa Africa.
Mfano mimi sioni shida kwa wale watu ambao wanasema hawana dini ila wanaamini mambo ya jadi kama mababu zetu, kutambiika kwajili ya kuomba mvua, maana hilo tambiko wanamwomba Mungu.
Ningependa maisha ya badae(in FUTURE) Waafrica waendeleze mila na dini zao, ili U kristo na U wislamu tuwaachie wenyewe.
mhhh naandika hii coment huku naogopa lakini, maana mimi ni muumini safi wa U kristo, japo kuna vifungu vya biblia napingana navyo.
Sara safi sana unakaribia kuvunja nira za kimapokeo na mazoea kwamba hivi nikiandika hivi nitaonekanaje na imani yangu hii
Mfano wa wazi kabisa ni mimi mwenyewe, niliingia JF kupitia MMU tukawa tunapiga soga sana kule baadae CC na picha.. Sasa nikawa nataka kuandika hizi mambo lakini nikawa naogopa kweli
Nilipoamua kuvunja nira za mazoea ma kuanza kuandika nilipata upinzani mkali sana
 
Kuna kitu umekigusia hapo, Watoto wa kichawi na kiganga.. Me nimekuwa interested hapo. Kujua wao wana nini? mshana jr
Kuna wachawi wa aina tatu au nne
Kurithi
Kusomea
Kupewa
Kuzaliwa
Wa kuzaliwa ndio kiboko kwakuwa ni inborn, hivyo wachawi hutega manii wakati wa tendo la ngono ili wajitengenezee brand yao toka tumboni... Mahali pengine ni wakati wa kujifungua.. Soma ile mada ya kitunguu saumu nimefafanua
 
Heri wao waliofunuliwa na kuiona ile kweli kwakuwa hawakutazama tu bali wameona pia, hawakusikia tu bali wameelewa pia usihukumu usije ukahukumiwa
Elimu ni elimu tu, inategemea unaitazama kwa mtazamo chanya au hasi? Hakuna sababu ya kuhukumu
 
Mshana Jr, mi kinachonishangaza sana ni kwanini wa Africa hatuna IMANI zetu? Nikisoma badhi ya vitabu vya kiimani naona DINI na IMANI zote zinamtukuza Mungu...na kufundisha kuishi kama Mungu, kutenda matendo mema, kwako, kwa ndugu jamaana marafiki na jamii nzima, lakini zaidi MTU mwenyewe kujitendea matendo mema, ndipo awatendee wengine mema. Sasa nikiangalia U Kristo na U Wislam ni kama vyombo vya siasa tu, namaanisha havina maantiki yoyote ya Ki Africa, kila kilichomo ndani yake ni mambo ya kigeni.....Sio kwamba napinga hizi dini mbili kubwa lakini sioni mashiko yake kwenye uhalisia wa sisi Wa Africa.
Mfano mimi sioni shida kwa wale watu ambao wanasema hawana dini ila wanaamini mambo ya jadi kama mababu zetu, kutambiika kwajili ya kuomba mvua, maana hilo tambiko wanamwomba Mungu.
Ningependa maisha ya badae(in FUTURE) Waafrica waendeleze mila na dini zao, ili U kristo na U wislamu tuwaachie wenyewe.
mhhh naandika hii coment huku naogopa lakini, maana mimi ni muumini safi wa U kristo, japo kuna vifungu vya biblia napingana navyo.
Kwa uelewa wangu dini ni utaratibu aliojiwekea mwanadamu katika kuboresha namna ya kumcha Mungu, ndiyo maana unakuta baadhi ya dini kuna madhehebu zaidi ya moja na hii ni kutokana na mshiriki mmoja kuona mwingine hafanyi sawa sawa katika kuishiriki imani wanayo iamini.

Kwa vile wewe umesema ni mKristo, ukisoma Biblia waraka mmoja wapo wa mtume Paulo unaona wazi anaelezea taratibu za dini ya imani fulani nje ya kumjua Mungu Muumba mbingu na nchi, kwamba dhamiri zao ndiyo zilikuwa zikiamua kama ameiharifu ile sheria ya imani yao au laa, na kama ameiharifu basi anahukumiwa kutokana na hiyo.

Lakini angalizo linalotolewa ni kwamba, kama umesikia habari njema na kutochukua hatua, huna tena udhuru, ni bora usinge sikia.

Swali ni kwamba kwa nini waAfrika tusiendelee na imani zetu kama hapo awali kabla ya hizi dini za nje kuja? Kwa upande wangu nadhani hii hutokana na ubora wa elimu inayotelewa na weledi wa hao waalimu wenyewe wanaofundisha juu ya imani au dini husika.

Lakini ukirejea kwenye kitabu kinachokupa mwongozo unaona kuwa kuna taifa teule ambalo Muumba mbingu na nchi ameliteua ili kupitia hilo mataifa yote ulimwenguni yapate kumjua Mungu wa Kweli na kuamini imani sahihi. Kwa ufupi tu niishie hapa.
 
Sara safi sana unakaribia kuvunja nira za kimapokeo na mazoea kwamba hivi nikiandika hivi nitaonekanaje na imani yangu hii
Mfano wa wazi kabisa ni mimi mwenyewe, niliingia JF kupitia MMU tukawa tunapiga soga sana kule baadae CC na picha.. Sasa nikawa nataka kuandika hizi mambo lakini nikawa naogopa kweli
Nilipoamua kuvunja nira za mazoea ma kuanza kuandika nilipata upinzani mkali sana
Kwa sababu tumekuwa watu wa kupenda faraja zaidi kuliko uhalisia wa mambo.
 
Kuna wachawi wa aina tatu au nne
Kurithi
Kusomea
Kupewa
Kuzaliwa
Wa kuzaliwa ndio kiboko kwakuwa ni inborn, hivyo wachawi hutega manii wakati wa tendo la ngono ili wajitengenezee brand yao toka tumboni... Mahali pengine ni wakati wa kujifungua.. Soma ile mada ya kitunguu saumu nimefafanua
Yaani wakati nasoma hili jibu lako, kabla hata sijayafikia maelezo ya chini, baada tu ya kumaliza aina za wachawi, palepale nikagundua huyu wa kuzaliwa ni pure na ni hatari sana sababu anapata mawasiliano ya kiroho moja kwa moja!!
 
Yeah always halisi ni halisi tuu... Huyu huwa na kila kitu tangu analiona jua.... Na kwakweli ukisikia kuna wachawi hatari ndio hawa
 
icautoimmune.png
 
Wengi tunapoongelea neno KINGA tunapeleka mawazo yetu moja kwa moja kwenye mipira ya kufanyia ngono yaani kondomu.. Lakini wengine watadhani ni kinga dhidi ya maradhi ama kinga dhidi ya ajali barabarani na wezi majumbani huku wachache wakiwaza kinga dhidi ya watoto nknk... Akitokea mmoja akazungumzia kinga ya kiroho huyo itabidi umwangalie mara mbili kwakuwa si kawaida na si mazoea
Tumekuzwa kwenye kuulinda mwili, kulinda vile vinavyoonekana, tunauhudumia mwili wa nyama uwe na siha njema, sura ivutie, nywele zivutie, nguo zikubali, tunaunywesha na kuulisha mwili wa nyama uharibikao na kusahau kabisa msingi wa kinachoufanya huo mwili uhudumiao uuhudumie
Mwili dhaifu usio na kinga imara ni rahisi sana kushambuliwa na magonjwa mbalimbali, kuna watu haipiti mwezi kaugua hiki ama kile... Hawa automatically miili yao haina kinga thabiti... Ni watu wa spana mkononi kama gari bovu trip moja kazini, trip moja kwa fundi
Sasa mwili huohuo unaoweza kuwa na afya na siha njema usioshambuliwa na magonjwa ya mara kwa mara unaweza kuwa na upungufu mkubwa wa kinga za kiroho.... Pigo lolote likirushwa humpata yeye kama sio jini makhaba, basi ni zongo, kama sio zongo basi ni mapepo, kama sio mapepo basi ni chochote kibaya cha roho chafu kitampata
Mti mwenye upungufu wa kinga za kiroho mambo yake hayaendi kwenye stark, hayanyooki, hayasimami sawasawa, kama ni ajira inakuwa ngumu kupata, na akiipata hachelewi kuacha kuharibu ama kufukuzwa.. Kama ni biashara nuksi tupu, kama ni mahusiano balaa tupu, hakuna atakaloshika likakaa sawa...

Kuna vitu husababisha upungufu wa kinga za kiroho... Mungu (kwa wale waamini na waaminio) huleta duniani kiumbe kamili chenye kinga zote(usichanganye na wale watoto wa kichawi na majini) Lakini katikati ya harakati za maisha watu hupoteza ama kupunguza kinga zao kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji, kuhangaika bila kuwa na msimamo wa kiimani, kufanyiwa mambo mabaya ma jirani ndugu ama rafiki
Habari za kusafishwa nyota ama kupewa Pete za bahati ni vitu vibaya kabisa kiroho..
Habari za kuhangaika kwa waganga wa kienyeji ni kuzidi kujichafua kiroho na kujiharibia kabisa.. Yani mwili wako unakuwa kama punching bag, kila mtu anajaribu hapo
Kutangatanga kiimani, mara huku mara kule unahangaisha bure roho yako na kuichosha sana mwisho inakuwa dhaifu kabisa
Jijengee msingi imara wa kinga ya kiroho kwa kubaki na imani moja bila kujali unaamini katika nini....
Pambana na hali yako kwa njia chanya... Kila mmoja wetu ana changamoto nyingi sana za maisha... Epuka nguvu hasi yoyote kwa manufaa binafsi. Unajiharibia...
Epuka epuka epuka kujihusisha na mambo ya giza huko huendi kutengeneza bali kujimaliza.... Unafuu wake ni wa muda mfupi sana.....
Wengi wanaohagaika leo wenye upungufu wa kinga za kiroho angalia historia zao wengi wamepitia hayo hapo juu...... Simama na Mungu wako ujenge kinga imara ya kiroho....
Nimekuelewa sana mkuu uko sahihi kabisa
 
Mshana leo umenigusa sana frankly
Mtoto wa kiume machozi yananilenga lenga
I need help
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom