Pure Mathematics
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 174
- 52
Upo wapi mida hii mwana chit chat . . . Me nipo kwa party nakula vituz vya moto na baridi, lol
Upo wapi mida hii mwana chit chat . . . Me nipo kwa party nakula vituz vya moto na baridi, lol
Kitandani!!!!!
Kitandani!!!!!
Mataa ya Ubungo naongoza magari...
Tupo kitandani
Narudi
Nipo kanisani, tupo kwenye maombi maalumu.
Sijui hapa ni club gani mama totoo Evelyn Salt ndo kanileta hapa kwa mbaali namuona mamndenyi kakaa ktk sofa pembeni kabisa ya ukumbi nadhani atakuwa anakunywa malta japo anaonekana ana huzuni.
Afu na wewe kakangu bwana. Umeulizwa uko wapi, na sio mko wapi? Kuna watu wana wivu kama majoka ya mdimu, kuna siku utazodolewa, ohooo.
Hapa ni The stone night club dia....
Kwenye chumba maalum..
we ni shuka, foronya au chandarua???
Hapa ni The stone night club dia....
Me blanket!!!!!