Upo wapi Anneth Benidicta?

Moshi kwani pamekuwa ni Ukraine mkuu?

Kwamba unahitaji ndege ya kivita ili ufike
 
Yaani siku hizi hunipendi hadi naogopa. Unanidanganya hadharani dunia ikiona hivi hivi jmn🥲
Nisipokupenda wewe nitampenda Nani mwingine..njoo bana nakumiss
 
Anaitwa Anastasia Benidicta Ila alikuwa anapenda nimuite Aneth, Nimemkumbuka Sana Mpenzi wangu.

Popote Ulipo Aneth, nakuomba ujitokeze, najua umeolewa lakini nataka nikuone tuu roho yangu itulie
Umesema hadi kwao unapafahamu,kwanini usiende Moshi kumuulizia kwao?
 
Mm Leo nimekutana na Johari wangu binti wa kinyaturu

Mtoto pua ndefu, mtoto mweupe, mtoto anajua kulembua, mtoto johari nimekutana nae Leo Ila ana mtoto tayari ,mijamaa ishatia zao mbegu.

Pamoja na kuwa na mtoto ,mtoto johari kanipa penzi tamu sana Leo

Tuliachana miaka 2 sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…