Upo wapi Anneth Benidicta?

Halafu watu wa hivi hata kwenye social media hawapo.
 
Kwamba hakuna aliekushika ku mtima Hadi kummiss
Hahah kuna mstari flani wa biblia huwa ninauishi sana na unasema.
" tunatoka utukufu hadi utukufu na nguvu hadi nguvu"

Siku zote napenda kilicho bora zaidi.
Aliye bora akinizingua natafuta aliye bora zaidi ili nisikumbuke nyuma.

Kuna vichache unaweza kukumbuka lkn kurudi nyuma kunatesa...mbele ni mbele mpendwa wangu.
 
Nimependa msimamo wako๐Ÿ˜Š
 
Nimependa msimamo wako
Ukimrudia mliyetamana atakutesa sana.
Waafrika hatujui mapaenzi kwa 85%

Wenzetu ubeberuni hao ndio wanajielewa sana katika angle hii...wakitengana unaona kabisa wanavyoteseka na wakirudiana yaani ni penzi bichi bichi balaa.
Naongea kwa uzoefu.

Sisi huku mkiachana...fuatilia status ufe

Utafikiri mliishi kimtego
 
Aiseee..ila hongera Sana
 
Mi militia huku sikua najua kutongoza,hii inakaaje kwako?
kama wanawake wote wakirudi kwa walio watoa bikra, hii dunia itakuwa ngumu sana kwa wanaume madomo zege
 
Jitahidi sana uowe mwanamke aliyesoma..Ni bora kusikia cool down Sweetheart" kuliko kusikia Niuwe nimesema niuwe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚โ›น๐Ÿปโ€โ™‚๏ธโ›น๐Ÿปโ€โ™‚๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ