Upo uwezekano mkubwa Rais Magufuli hatoivusha Tanzania salama

Kwa jinsi mambo yanavyoenda na huko tulipotoka, naamini kuwa upo uwezekano mkubwa wa Rais Magufuli kutokuivusha Tanzania salama.

Nimeona vihashiria kuwa sasa wananchi wanaonyesha kuchoshwa kweli na mwenendo wa siasa za kibabe za nchi yetu. Hili ni jambo la hatari.

Ni kweli kuwa kwa muda wa miaka minne na nusu iliyopita, Tanzania imepitia majaribu makubwa na naamini sasa kwenye majaribu hayo ndiyo tuanelekea zaidi kwenye makali.

Unaweza usinielewe kwa sasa kutokana na mtazamo ulio nao, ila inahitaji maombi ya "kufa mtu" ili kuivusha nchi salama na hili wimbi. Inavyoonekana ni kama tumeamua wenyewe kujipeleka huko kutokana na kiburi chetu na kujisahau kuwa sisi tupo duniani na tumezungukwa na ardhi, siyo maji.

Kila kona sasa ni vurugu mechi, mambo ya kuzuia moto kwa nguo wala hayana maana. Kufunika pembe la ng'ombe kwa kiganja huku ukiamini kuwa umelizuia kuchomoza, ni ujinga. Kama nchi tunaelekea kufumbwa macho ili mengine yatokee!

Nani atamfunga paka kengele?
Full kupanic kupanic....kuondoleww madarakani sio hali ya kawaida. Unatamani amayesababisha umnyonge tu apotee. Lakino sasa utanyionga wangapi.. hapo ndio vita huinuka.
 
Huyo ni speaker tu memory kadi iko kwa Mabeberu
Lissu sasa is beyond control. Vyombo mnazima.kwa sababu yake. Mnazidi kuwapa watanzania sababu ya kwanini Lissu anafaa. Yaani watanzania wengi vijijini wanapenda sana BBC na DW leo kwa sababu ya Lissu mnavifungia Indirectly?? Full kupanic
 
Hili limenishangazaa
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda na huko tulipotoka, naamini kuwa upo uwezekano mkubwa wa Rais Magufuli kutokuivusha Tanzania salama.

Nimeona vihashiria kuwa sasa wananchi wanaonyesha kuchoshwa kweli na mwenendo wa siasa za kibabe za nchi yetu. Hili ni jambo la hatari.

Ni kweli kuwa kwa muda wa miaka minne na nusu iliyopita, Tanzania imepitia majaribu makubwa na naamini sasa kwenye majaribu hayo ndiyo tuanelekea zaidi kwenye makali.

Unaweza usinielewe kwa sasa kutokana na mtazamo ulio nao, ila inahitaji maombi ya "kufa mtu" ili kuivusha nchi salama na hili wimbi. Inavyoonekana ni kama tumeamua wenyewe kujipeleka huko kutokana na kiburi chetu na kujisahau kuwa sisi tupo duniani na tumezungukwa na ardhi, siyo maji.

Kila kona sasa ni vurugu mechi, mambo ya kuzuia moto kwa nguo wala hayana maana. Kufunika pembe la ng'ombe kwa kiganja huku ukiamini kuwa umelizuia kuchomoza, ni ujinga. Kama nchi tunaelekea kufumbwa macho ili mengine yatokee!

Nani atamfunga paka kengele?
Mmmh! Kwa mbaali namkumbuka TB Joshua alipokanyaga ardhi ya Tz mara tu baada ya matokeo ya uraisi 2015.
 
Huyu uchwara anatutanguliza fronti safari hii.
Ngoja tumsikilizie Aristoto Kai jagi
 
Lissu sasa is beyond control. Vyombo mnazima.kwa sababu yake. Mnazidi kuwapa watanzania sababu ya kwanini Lissu anafaa. Yaani watanzania wengi vijijini wanapenda sana BBC na DW leo kwa sababu ya Lissu mnavifungia Indirectly?? Full kupanic
Yaani walivyo kuwa hawana akili wanashindwa kabisa kutambua kwamba matendo yao hasi wanayo mfanyia lissu ndio yanazidi kudhihirisha kuwa wao ndio waliompiga zile risasi
 
Jamani wehu ni bahati mbaya tu inayompata mtu na sio sifa nzuri kwenye jamii hadi muikimbilie na kuiwania hivi. Mtu yeyote mwenye akili timamu sisi watanzania ni wa Magufuli. Hivyo vidogoli vyenu mkavitafutie eneo jingine la kuchezea.

MAGUFULI4LIFE.
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda na huko tulipotoka, naamini kuwa upo uwezekano mkubwa wa Rais Magufuli kutokuivusha Tanzania salama.

Nimeona vihashiria kuwa sasa wananchi wanaonyesha kuchoshwa kweli na mwenendo wa siasa za kibabe za nchi yetu. Hili ni jambo la hatari.

Ni kweli kuwa kwa muda wa miaka minne na nusu iliyopita, Tanzania imepitia majaribu makubwa na naamini sasa kwenye majaribu hayo ndiyo tuanelekea zaidi kwenye makali.

Unaweza usinielewe kwa sasa kutokana na mtazamo ulio nao, ila inahitaji maombi ya "kufa mtu" ili kuivusha nchi salama na hili wimbi. Inavyoonekana ni kama tumeamua wenyewe kujipeleka huko kutokana na kiburi chetu na kujisahau kuwa sisi tupo duniani na tumezungukwa na ardhi, siyo maji.

Kila kona sasa ni vurugu mechi, mambo ya kuzuia moto kwa nguo wala hayana maana. Kufunika pembe la ng'ombe kwa kiganja huku ukiamini kuwa umelizuia kuchomoza, ni ujinga. Kama nchi tunaelekea kufumbwa macho ili mengine yatokee!

Nani atamfunga paka kengele?
Kama ni washauri hatujuwi kama alishauriwa akakataa pia mm sijuwi ila kila mtu atatafuta msikiti na kanisa asali na kutubu maana dhambi ya unafiki sasa ina tutafuna wenyewe. Ni do or die. God remember your people of this nation
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom