Upinzani penetration...

Upinzani penetration...

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,475
Reaction score
33,038
Hello wanajamvi,

Tuko hapa tena tukiongelea uchaguzi.

Kama ambavyo tutakua tunajadili uchaguzi 2025.

Nothing is going to change, CCM itaendelea kuongoza tena na tena

I just think we need us makamanda to have a big debate on how to fight this Enemy... (which is a focus of this thread)

Kwangu mimi most ni upinzani kupenetrate rural areas, Miji mikubwa kama Arusha, Dar, Mwanza tayari kuna MUAMKO ndio maana Hata uchaguzi wanajitokeza watu kwa wingi... hata kampeni zake hazihitaji nguvu sana. I think more effort ipelekwe vijijini, sikumbuki niliona wapi kwamba 80% ya watanzania wanaishi vijijini.. so it make sense UPINZANI KUWEKEZA NGUVU ZAKE HUKO .... (How? Makamanda tusaidiane hapa)

Mimi jibu langu hasa ni kuweka mkakati in the next five years CHADEMA ikuze vyanzo vyake vya mapato (makamanda hapa tusaidiane HOW). CHADEMA pia ifungue CHARITY yake, kwa mfano tunaona MKAPA, JAKAYA KIKWETE FOUNDATION, ila sijaona kiongozi yeyote wa upinzani mwenye charity yake, LISSU una exposure ni mtu unajulikana kimataifa ukifungua CHARITY utakua suppprted ndani na nje ya nchi, fungua lengo ni kuimprove rural areas residents na Watanzania wote kwa mapana, identify kila kijiji kinahitaji nini, then unatoa SOLUTIONS.

Kama ni maji, vyoo vya shule, ama kujenga hospitali shule trust me within FIVE YEARS, UTAKUA UMEKUWA KARIBU NA WANANCHI NA PIA UTAKUA NA PROJECTS zitakazokusaidia kuomba kura, sio sasa hivi Magufuli anasema nimejenga hiki kile, halafu wewe unakua ni mtu wa kupromise tu nitafanya hiki kile. Ukiwa na projects ulizozipatia solutions , wewe pia utakua na projects za kuonyesha kwenye uchaguzi ujao.

Makamanda toeni mawazo yenu, karibuni
 
Tatizo la upinzani ni hauna watu/ viongozi walio thabiti na walio serious. Wanawapigiwa kura leo na wanashinda, kesho na keshokutwa wananunuliwa upande wa pili kwa bei rahisi kabisa kisha wanauza majimbo waliochaguliwa na wananchi wao.

Hiyo ndio chanzo namba moja la anguko la upinzani, viongozi wake wanakatisha tamaa na kuvunja moyo. Asilimia kubwa ya vijana hawajapiga kura kwa sababu hiyo.
 
Upinzani hauhitaji charity wala kujikita vijijini bali tume huru ya uchaguzi na bila muiingiliano na vyombo vya dola. Bila hivyo upinzani utasubiri sana kushika madaraka.

Mkuu ukishakua karibu na watu ni rahisi kuwa mobilise watu wadai tume huru, you cant just sit far na kusema tunahitaji tume huru .. lazima uwa engage kwanza... Kama upinzani hauhitaji charity unahitaji nini mkuu?? Funguka
 
Lissu anapendwa sana vijijini. Hayo mambo ya kusema eti oh vijijini ni propaganda ya CCM kama ilivyo ile ya mabeberu na ushoga. Tatizo ni mfumo+woga wa Watanzania. CCM = NEC, TISS, Polisi, Jeshi, TCRA, Makampuni ya simu, Mamlaka ya Anga, Msajili wa Vyama nk. Hata waki-penetrate mpaka Kenya, kama NEC pale juu kuna akina Mahera na Jecha, ni kupoteza muda tu. Sheria inasema Kaijage akishatangaza, hakuna kupinga mahakamani. Hata kama akikosea akasema mshindi ni Hashim Rungwe, hakuna wa kupinga.
 
Safi sana angalau wewe inelelekea unajua kuna tatizo upande wa Upinzani pia na mambo ya Tume ya uchaguzi siyo stori yote, Tume ina changamoto zake lkn chadema pia kama Chama hawataki kukubali uhalisia kwamba hawajaweza kushinda uchaguzi Tanzania, lakini hilo hawalikubali kwa maana wanafikiri wataonekana dhaifu matokeo yake wanaishia kujidanganya na kurudia makosa yale yale chaguzi baada ya chaguzi.

Kama ningekuwa mimi chadema kwanza ningetokea hadharani baada ya matokeo kutanganzwa na kukubali kwamba tumeshindwa kihalali kabisa na kuangalia kwa nini tumeshindwa nisingejishughulisha na mambo ya Tume, kwanza ningedili na upande wangu, ...
 
Lissu anapendwa sana vijijini. Hayo mambo ya kusema eti vijijini ni propaganda ya CCM kama ilivyo ile ya beberu na ushoga. Tatizo ni mfumo+woga wa Watanzania. CCM = NEC, TISS, Polisi, Jeshi, TCRA, Makampuni ya simu, Mamlaka ya Anga, Msajili wa Vyama nk. Hata waki-penetrate mpaka Kenya, kama NEC pale juu kuna akina Mahera na Jecha, ni kupoteza muda tu.
sahihi kabisa
 
Propaganda za CCM hizi... Mabeberu, mashoga... Haina tofauti, zote propaganda tu.
Safi sana angalau wewe inelelekea unajua kuna tatizo upande wa Upinzani pia na mambo ya Tume ya uchaguzi siyo stori yote, Tume ina changamoto zake lkn chadema pia kama Chama hawataki kukubali uhalisia kwamba hawajaweza kushinda uchaguzi Tanzania, sasa waanze kufanya
 
Lissu anapendwa sana vijijini. Hayo mambo ya kusema eti oh vijijini ni propaganda ya CCM kama ilivyo ile ya mabeberu na ushoga. Tatizo ni mfumo+woga wa Watanzania. CCM = NEC, TISS, Polisi, Jeshi, TCRA, Makampuni ya simu, Mamlaka ya Anga, Msajili wa Vyama nk. Hata waki-penetrate mpaka Kenya, kama NEC pale juu kuna akina Mahera na Jecha, ni kupoteza muda tu. Sheria inasema Kaijage akishatangaza, hakuna kupinga mahakamani. Hata kama akikosea akasema mshindi ni Hashim Rungwe, hakuna wa kupinga.

Mkuu una data Lissu anapendwa vijijini? You are right mambo ni mengi yana changia kuukandamiza upinzani
 
Yaani hayo masanduku ya kura zilizopigwa tayari + kutokuruhusiwa mawakala wa CHADEMA vituoni, ulitegemea nini? CHADEMA wakipata hata 1 nitashangaa.
Daaaaaaa....nimeumia sana sugu,, lema na mbowe out.
 
Back
Top Bottom