Upinzani kuchukua nchi labda baada ya miaka 1000

Aongezewe na nani ? Niwapeni dokezi tuu, madaraka aliyopewa raisi wa Tanzania yanamzidi hata mfalme wa nchi duniani. Nakupeni dokezi tuu, kabla hamjaanza harakati ya kumuongeza kwanza mtafakari hili.

Niseme kwa nchi za EA, nawapongeza sana Kenya. Jamaa wako mbali sana katika safari yao ya kuelekea maendeleo na demokrasia. Tanzania ikiwa wananchi wao bado wanamawazo ya namna hii, naona ndio itachukua hio miaka 1000
Sasa mbona sijaona hilo dokezo mkuu? Au bado unaandaa hilo dokezo?
 
Wasalaam wanaJF,

Kwanza nianze kwa kujisemea kuwa binafsi sio muumini wa chama chochote cha siasa ila siasa ni maisha yangu.

Kwa mambo yanayoendelea hususani kwa hawa viongozi wetu wa vyama pinzani mi nadhani upinzani bado sana kuchukua madaraka.

Ukiwaangalia viongozi hawa ni watu wazima kabisa ila mambo wafanyayo yana utoto mwingi sana.

Eti mtu anayetegrmea kuchukua nchi na kuwa mfariji mkuu anachekelea watu wake kuzuiwa kuuza mahindi nje ya nchi.

Anafurahishwa na tetesi za kuugua kwa rais aliyechaguliwa na wananchi.

Anaungana na upande wa watesi wetu waliotunyonya miaka nenda rudi.

Mwingine ni kiongozi ila ni mlevi. Sifa ambaye maandiko ya Mungu yanasema kuwa mlevi ni mtu mpumbavu haijalishi ni nani.

Kwa hali kama hii napendekeza Magufuli aongezewe miaka 10 baada ya 2025 ili anyooshe mapito yaliyopinda. Na ikiwezekana atawale mpaka afie madarakani maana huyu rais ni chaguo la Mungu na ni mzalendo kweli kweli.!
Natafakari mfanano wa ulichoandika na hivyo ulivyo!
 
Mungu bora akunyime kila kitu lkn akupe akili na kujaitambu mapoyoyo ya ccm,kila analofanya Meko wao wata support tuu,na akitokea wa kulipinga utasikia sio upinzani,nendeni basi mkamsaidie huko alipo ili apone law haraka
 
Kura ziliibiwa nyinyi wenye kura mkiwa wapi? Mmelala au? Sasa tukiwapa nchi nayo si itaibiwa? Basi hatuwapi nchi mpaka mjipange vizuri na kujitambua tusije tukaibiwa nchi jumla jumla!!
Kwahiyo mnajisifia kuiba kura! ona akili zenu zilivyo.
 
Kama mambo ndivyo sasa huyu aliyepo anatosha hakuna haja ya kutuletea viongozi ambao wataleta ushoga na kuharibu maadili yetu waafrica.
Hao wanaopenda kulishwa mishikaki na mvinyo na beberu, basi wabaki huko huko
Maana hatujui kama wako salama kimaumbile kama mungu anavyotaka.
Kazi ya serikali ni kukusanya kodi kisha kutumia kodi kujenga nchi, hata rais angekuwa konki piere liquid angejenga hizo barabara, kuleta maji na miundombinu mingine ndio kazi ya msingi ya serikali.

Unasifia ATM kutoa hela yako?
 
Huo ni mtizamo wako mkuu,anatosha kwako na lumumba wenzako.
 
Ni kama mtoto mjinga anapochokoza watu anakimbilia kwao na kufunga geti akiamini geti ni kinga yake ndivyo ambavyo

CCM miaka nenda rudi wamejificha katika kinga na geti kuukuu la katiba ya 1977 wakiamini kuwa bado fikra za ujima zinaishi hata katika karne ya 21

Ndivyo ambavyo inalazimishwa kumpenda mtu fulani au kikundi cha watu fulani eti ndio uzalendo..
 
Mpaka sasa unaongozwa nae na kila linalofanyika juu ya maelekezo yake pia wewe unafata utake usitake.
Sifatishi maelekezo yake mkuu ,mimi nachoma mkaa huku minjingu na yeye yupo huko magogoni wapi na wapi? Nchi inaongozwa na katiba na sheria za nchi ,zipo tangia uhuru,hakuna mtu aliye juu ya sheria,kama unabisha mwambie huyo mtu wenu ampige mtu risasi halafu kama hatachukuliwa sheria na kupelekwa mahakamani hata kama ni rais.
 
Kazi ya serikali ni kukusanya kodi kisha kutumia kodi kujenga nchi, hata rais angekuwa konki piere liquid angejenga hizo barabara, kuleta maji na miundombinu mingine ndio kazi ya msingi ya serikali.

Unasifia ATM kutoa hela yako?
Je, kuzusha na kueneza umbea nayo ni kazi ya rais?
 
Sifatishi maelekezo yake mkuu ,mimi nachoma mkaa huku minjingu na yeye yupo huko magogoni wapi na wapi? Nchi inaongozwa na katiba na sheria za nchi ,zipo tangia uhuru,hakuna mtu aliye juu ya sheria,kama unabisha mwambie huyo mtu wenu ampige mtu risasi halafu kama hatachukuliwa sheria na kupelekwa mahakamani hata kama ni rais.
Sasa kama nchi inaongozwa na sheria kwa nini mnalalamika anapotekereza majukumu yake kwa mjibu wa sheria?
BAsi inaonekana hamjitambui na kile mnachoamini.
 
Wasalaam wanaJF,

Kwanza nianze kwa kujisemea kuwa binafsi sio muumini wa chama chochote cha siasa ila siasa ni maisha yangu.

Kwa mambo yanayoendelea hususani kwa hawa viongozi wetu wa vyama pinzani mi nadhani upinzani bado sana kuchukua madaraka.

Ukiwaangalia viongozi hawa ni watu wazima kabisa ila mambo wafanyayo yana utoto mwingi sana.

Eti mtu anayetegrmea kuchukua nchi na kuwa mfariji mkuu anachekelea watu wake kuzuiwa kuuza mahindi nje ya nchi.

Anafurahishwa na tetesi za kuugua kwa rais aliyechaguliwa na wananchi.

Anaungana na upande wa watesi wetu waliotunyonya miaka nenda rudi.

Mwingine ni kiongozi ila ni mlevi. Sifa ambaye maandiko ya Mungu yanasema kuwa mlevi ni mtu mpumbavu haijalishi ni nani.

Kwa hali kama hii napendekeza Magufuli aongezewe miaka 10 baada ya 2025 ili anyooshe mapito yaliyopinda. Na ikiwezekana atawale mpaka afie madarakani maana huyu rais ni chaguo la Mungu na ni mzalendo kweli kweli.!
Asante mkuu ndiyo maana mpaka sasahivi bei ya vifaa vya ujenzi imepanda kwa wapinzani pekee, sukari, mafuta ya kula, maisha magumu pamoja kukosa ajira ni wapinzani pekee sisi CCM kila kitu kina shuka.
 
Back
Top Bottom