Upinzani kuchukua nchi labda baada ya miaka 1000

Hizi kauli za "miaka 1000" zinanikumbusha utawala wa Adolf Hitler wa "Third Reich" ulisema utaitawala dunia kwa miaka 1000.

Kwa wanaojua historia wanajua uliishia wapi.

Jihadharini sana na kauli za "miaka 1000".

51dJj8I5-7L._AC_UL160_SR160,160_.jpg
 
Wasalaam wanaJF,

Kwanza nianze kwa kujisemea kuwa binafsi sio muumini wa chama chochote cha siasa ila siasa ni maisha yangu.

Kwa mambo yanayoendelea hususani kwa hawa viongozi wetu wa vyama pinzani mi nadhani upinzani bado sana kuchukua madaraka.

Ukiwaangalia viongozi hawa ni watu wazima kabisa ila mambo wafanyayo yana utoto mwingi sana.

Eti mtu anayetegrmea kuchukua nchi na kuwa mfariji mkuu anachekelea watu wake kuzuiwa kuuza mahindi nje ya nchi.

Anafurahishwa na tetesi za kuugua kwa rais aliyechaguliwa na wananchi.

Anaungana na upande wa watesi wetu waliotunyonya miaka nenda rudi.

Mwingine ni kiongozi ila ni mlevi. Sifa ambaye maandiko ya Mungu yanasema kuwa mlevi ni mtu mpumbavu haijalishi ni nani.

Kwa hali kama hii napendekeza Magufuli aongezewe miaka 10 baada ya 2025 ili anyooshe mapito yaliyopinda. Na ikiwezekana atawale mpaka afie madarakani maana huyu rais ni chaguo la Mungu na ni mzalendo kweli kweli.!
We una akili au huna! Tuanzie hapo
 
Wewe ni muumini wa CCM, maana ndio wenye mawazo ya miaka 1000, wakati wote watakuwa washatwaliwa kwenda Jehanum.
Usidhani Tanzania ni tofauti na nchi nyingine kama Malawi, Zambia, Kenya nk. Lolote laweza kutokea muda wowote wewe mwenyewe ukiwa hai. Kama unabisha, waambie ndugu zako wa CCM waweke uwanja sawa wa kufanyia siasa, i.e. waipitishe ile Katiba ya wananchi aka katiba ya Warioba. Wasitumie polisi ku deal na wapinzani wala wasifanye hujuma zozote.
 
Wasalaam wanaJF,

Kwanza nianze kwa kujisemea kuwa binafsi sio muumini wa chama chochote cha siasa ila siasa ni maisha yangu.

Kwa mambo yanayoendelea hususani kwa hawa viongozi wetu wa vyama pinzani mi nadhani upinzani bado sana kuchukua madaraka.

Ukiwaangalia viongozi hawa ni watu wazima kabisa ila mambo wafanyayo yana utoto mwingi sana.

Eti mtu anayetegrmea kuchukua nchi na kuwa mfariji mkuu anachekelea watu wake kuzuiwa kuuza mahindi nje ya nchi.

Anafurahishwa na tetesi za kuugua kwa rais aliyechaguliwa na wananchi.

Anaungana na upande wa watesi wetu waliotunyonya miaka nenda rudi.

Mwingine ni kiongozi ila ni mlevi. Sifa ambaye maandiko ya Mungu yanasema kuwa mlevi ni mtu mpumbavu haijalishi ni nani.

Kwa hali kama hii napendekeza Magufuli aongezewe miaka 10 baada ya 2025 ili anyooshe mapito yaliyopinda. Na ikiwezekana atawale mpaka afie madarakani maana huyu rais ni chaguo la Mungu na ni mzalendo kweli kweli.!
Libya kwa Gaddafi walikuwa wakisema hivi hivi enzi zile kabla ahera haijamshukia yule shujaa wao. Ona msala walio nao sasa!
 
K
Anavunja sheria wewe lumumba fc ndio maana watu wanapiga kelele.
Kwanza unachosa, kisha hujitambui.
Nilikwambia mwanzo kwamba uvimbe unune bado ndo raisi wako na utatekereza kile anachoagiza ukasema ni kwa mujibu wa sheria.

Kwa mfano alisema watu wasinywe pombe wakati wa asubuhi, au wafanye usafi siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa vyovyote kama hilo linakugusa lazima utatii tu hata kama humpendi.
Ulivyojibu ni kwamba anataimiza kwa matakwa ya sheria
Sasa tena unasema anavunja sheria, sasa hapo tukueleweje?

Hata kama anavunja sheria na wewe unajua ni haki yako mbona hujapingana nae kutaka hiyo haki?

Kwa mfano kazuia maandamano na wewe umevimba mashavu, mbona hujaenda kuandamana mnapoitishwa kama yale ya lisu?
Na kama hujapinga yale unayoona kavunja sheria huoni kama umeridhika na utawala wake utake usitake?

Nimechoka kukujibu tuishie hapo.
 
Toa utumbo wako akivunja sheria anaambiwa wewe sio kama ndio anaachwa ,angekuwa anataka kufanya analofanya yeye kwakuwa ni rais basi abgekuwa anapiga risasi wanaompinga hadharani uone kama ajafumuliwa na mabeberu.
 
Sijui muulize aliyezusha.

Kwani watu wanazusha au wanauliza?
Huulizi kwa kusema mambo kanakwamba ndio ukweli uliopo. Kusema fulani amefichwa na amepandishwa ndege usiku kapelekwa nchi nyingine, huku sio kuuliza ni kuzusha mambo.

Na huyo ndio mnataka awajengewe barabara na kulinda sheria za nchi.
 
Wasalaam wanaJF,

Kwanza nianze kwa kujisemea kuwa binafsi sio muumini wa chama chochote cha siasa ila siasa ni maisha yangu.

Kwa mambo yanayoendelea hususani kwa hawa viongozi wetu wa vyama pinzani mi nadhani upinzani bado sana kuchukua madaraka.

Ukiwaangalia viongozi hawa ni watu wazima kabisa ila mambo wafanyayo yana utoto mwingi sana.

Eti mtu anayetegrmea kuchukua nchi na kuwa mfariji mkuu anachekelea watu wake kuzuiwa kuuza mahindi nje ya nchi.

Anafurahishwa na tetesi za kuugua kwa rais aliyechaguliwa na wananchi.

Anaungana na upande wa watesi wetu waliotunyonya miaka nenda rudi.

Mwingine ni kiongozi ila ni mlevi. Sifa ambaye maandiko ya Mungu yanasema kuwa mlevi ni mtu mpumbavu haijalishi ni nani.

Kwa hali kama hii napendekeza Magufuli aongezewe miaka 10 baada ya 2025 ili anyooshe mapito yaliyopinda. Na ikiwezekana atawale mpaka afie madarakani maana huyu rais ni chaguo la Mungu na ni mzalendo kweli kweli.!

Umeona yeyote omba omba mpaka leo jali maisha yako wapinzani wanakula AC
 
Nalipenda jina lako la Nebuchadenezar, pamoja na kulikosea kuliandika.
Wewe na wenzio mnakosea sana kufikiri kuwa Upinzani ni Mbowe, Zitto, Lissu, Lema, Msigwa na Viongozi wengine.
Tanzania, Upinzani ni Umma wa wapiga kura.
Wakubwa zako wote wanajua kuwa Umma wa Watanzania hawaitaki CCM, na w
ako madarakani kwa kuiba kura!
Kwa nini wanaiba kura?
Kwa sababu hakuna Tume Huru ya Uchaguzi.
Na wewe unajua.
Na siku ukileta kidomodomo cha kutaka Tume Huru ya Uchaguzi, ama utapotezwa, au utahamia Ulaya kama Lissu na Lema.
 
Una uhakika hata baada ya miaka 100 tu kutakuwa kuna mahali panaitwa Tanzania?
Wasalaam wanaJF,

Kwanza nianze kwa kujisemea kuwa binafsi sio muumini wa chama chochote cha siasa ila siasa ni maisha yangu.

Kwa mambo yanayoendelea hususani kwa hawa viongozi wetu wa vyama pinzani mi nadhani upinzani bado sana kuchukua madaraka.

Ukiwaangalia viongozi hawa ni watu wazima kabisa ila mambo wafanyayo yana utoto mwingi sana.

Eti mtu anayetegrmea kuchukua nchi na kuwa mfariji mkuu anachekelea watu wake kuzuiwa kuuza mahindi nje ya nchi.

Anafurahishwa na tetesi za kuugua kwa rais aliyechaguliwa na wananchi.

Anaungana na upande wa watesi wetu waliotunyonya miaka nenda rudi.

Mwingine ni kiongozi ila ni mlevi. Sifa ambaye maandiko ya Mungu yanasema kuwa mlevi ni mtu mpumbavu haijalishi ni nani.

Kwa hali kama hii napendekeza Magufuli aongezewe miaka 10 baada ya 2025 ili anyooshe mapito yaliyopinda. Na ikiwezekana atawale mpaka afie madarakani maana huyu rais ni chaguo la Mungu na ni mzalendo kweli kweli!
 
Mtazamo extra, Watendeeni watu yale mnayopenda nanyi kutendewa.

Universal law
 
Ngoja nifuatilie kama na wafuasi wa Bob Wine nao wana akili za funza kama wa hapa kwetu...ama kweli Tanzania hatujawahi kuwa na Wapinzani wa kweli, kuna kikundi cha wasaka tonge na wajinga wengi! Kwa akili hizi CCM itaongoza milele!
Sijawahi kuona mtu mwenye akili timamu anapima ndege, mbuzi, mafenesi nk kama yana magonjwa isipokuwa mtu huyo dishi litakuwa limeyumba, yaani akili zimefyatuka
 
Toa utumbo wako akivunja sheria anaambiwa wewe sio kama ndio anaachwa ,angekuwa anataka kufanya analofanya yeye kwakuwa ni rais basi abgekuwa anapiga risasi wanaompinga hadharani uone kama ajafumuliwa na mabeberu.
Beberu ndo mume wenu au?
Huwezi kujitawala mwenyewe mpaka beberu ndo likusaidie?
Je hao mabeberu nani aliwafikisha hapo walipo?
Zinduka ndugu, nadhani bado unasubili ugali wa kuhesabia namba ndo maana.
 
Wasalaam wanaJF,

Kwanza nianze kwa kujisemea kuwa binafsi sio muumini wa chama chochote cha siasa ila siasa ni maisha yangu.

Kwa mambo yanayoendelea hususani kwa hawa viongozi wetu wa vyama pinzani mi nadhani upinzani bado sana kuchukua madaraka.

Ukiwaangalia viongozi hawa ni watu wazima kabisa ila mambo wafanyayo yana utoto mwingi sana.

Eti mtu anayetegrmea kuchukua nchi na kuwa mfariji mkuu anachekelea watu wake kuzuiwa kuuza mahindi nje ya nchi.

Anafurahishwa na tetesi za kuugua kwa rais aliyechaguliwa na wananchi.

Anaungana na upande wa watesi wetu waliotunyonya miaka nenda rudi.

Mwingine ni kiongozi ila ni mlevi. Sifa ambaye maandiko ya Mungu yanasema kuwa mlevi ni mtu mpumbavu haijalishi ni nani.

Kwa hali kama hii napendekeza Magufuli aongezewe miaka 10 baada ya 2025 ili anyooshe mapito yaliyopinda. Na ikiwezekana atawale mpaka afie madarakani maana huyu rais ni chaguo la Mungu na ni mzalendo kweli kweli!
Mtu mzima kama wewe kukaririshwa uongo ni aibu.MATAGA ni zero kwenye kujenga hoja.Mnajua kuabudu mungu wa Chato tu,ndo mwisho wa mawazo yenu
 
Beberu ndo mume wenu au?
Huwezi kujitawala mwenyewe mpaka beberu ndo likusaidie?
Je hao mabeberu nani aliwafikisha hapo walipo?
Zinduka ndugu, nadhani bado unasubili ugali wa kuhesabia namba ndo maana.

Mnamtetea mtu wenu kwasababu mpo kwenye payroll ,ugali wa kuhesabiwa niliuacha miaka 30 iliyopita.
 
Wasalaam wanaJF,

Kwanza nianze kwa kujisemea kuwa binafsi sio muumini wa chama chochote cha siasa ila siasa ni maisha yangu.

Kwa mambo yanayoendelea hususani kwa hawa viongozi wetu wa vyama pinzani mi nadhani upinzani bado sana kuchukua madaraka.

Ukiwaangalia viongozi hawa ni watu wazima kabisa ila mambo wafanyayo yana utoto mwingi sana.

Eti mtu anayetegrmea kuchukua nchi na kuwa mfariji mkuu anachekelea watu wake kuzuiwa kuuza mahindi nje ya nchi.

Anafurahishwa na tetesi za kuugua kwa rais aliyechaguliwa na wananchi.

Anaungana na upande wa watesi wetu waliotunyonya miaka nenda rudi.

Mwingine ni kiongozi ila ni mlevi. Sifa ambaye maandiko ya Mungu yanasema kuwa mlevi ni mtu mpumbavu haijalishi ni nani.

Kwa hali kama hii napendekeza Magufuli aongezewe miaka 10 baada ya 2025 ili anyooshe mapito yaliyopinda. Na ikiwezekana atawale mpaka afie madarakani maana huyu rais ni chaguo la Mungu na ni mzalendo kweli kweli!
Haya weka namba yako ya simu hapo lumumba wakutumie buku saba yako!!...maku wewe
 
Why most of people are celebrating the falls of the #Lijitu
I get anxious about the level of our patriotism..

To #Lijitu had did bad deeds I guess u have to confession to
All in all God will heal ur ill. Despite people need flee from it's empire.
 
Back
Top Bottom