Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Inasikitisha sana kwa hali hii. Lakini hakuna jinsi tena. Wapinzani wamefilisika kabisa mpaka wanatetea wenye mimba warudi mashuleni! Mpaka wanakataa Serikali isitunge Sheria za kulinda Rasilimali za Umma! Mpaka wanapinga bei ya Mafuta kushuka! Mpaka wanatetea wenye vyeti feki wasifukuzwe kazi! Mpaka wanatetea Wauza unga wasichukuliwe hatua! Mpaka wanachochea madhehebu fulani ya Kidini yafanye vurugu na kupambana na Serikali! Mbaya zaidi wanapinga kila kitu kizuri ilimradi kimefanywa na Serikali ya CCM!
Tatizo ni pale walipomeza matapishi yao wenyewe! Watu waliokataliwa na CCM wamebebwa kwa shangwe na kubatizwa "utakatifu". Inashangaza mtu aliyewahi kushika wadhifa wa juu kabisa Serikali akiwa upande ule eti anailaumu CCM kwa mambo mengi wakati alikuwa sehemu ya hicho anachodai hakifai? Wakati mwingine unashindwa kuelewa kwa nini alipewa wadhifa kama huo zama hizo maana kwa kauli zake anaonesha kiwango kidogo cha uelewa!
Katika hali kama hii ndio maana Madiwani na Viongozi wengine wenye akili na wanaoona kinachofanywa na Serikali wanaamua kujiuzulu baada ya kubaini unafiki wa Wapinzani! UKAWA SASA IMEBAKIA UKIWA. KUNTU JK! YAMETIMIA SASA MANENO YAKO!!