joyce mngongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 890
- 972
ccm mkitaka mtu anuke mtam mwagia hata maji ya
mavi,ili lengo lenu litimie
tu.
Kama kweli upinzani hoi
kwanini mnakataza mikutano ya siasa ?
ni juzi tu,mmesema Lisu
atavuliwa nguo kwa issue
ya ACACIA
leo mnalialia kuna walio
mshauri vibaya bwana mtukufu wenu ! sasa hoi ni wapinzani au ccm na bwana mtukufu wenu ?
Nyie sio wakuzingatiwa
kwakua hamjawahi kuwa
wakweli,wala wa hoja za nguvu,hata siku moja !
Mmejaza ubaya miyoyon
i mwenu kuliko chochote kizuri duniani ! fieni mbali
na mauongo yenu yasiyo
pimika,sio toka kwa kiongozi au mwa/chama wa kawaida.mtaumbuka tu siku zote,kwakua mmemdhihaki Mungu,
vya kutosha,kwa kudhulu
mu jasho letu,na kumwaga damu za wenzetu .Mungu tunayemuamini,Yupo kaz
ini, kuwashuhulikieni.