Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,639
- 220,417
Wamegoma hawataki kusikia hiyo habariBunduki za nini?Bora wakina fulani wangekuwepo kwny Ethiopia airlines na laana zao.
Natamani sn Venezuela na Algeria
Sent using Jamii Forums mobile app

Binadam bora na mstarabu haangalii amefanya kipi cha kufurahisha watu bali asifanye nini cha kuumiza watu.
Baadhi ya makabila na mila Afrika ,zamani watoto wenye ulemavu walitupwa kwenye miamba mirefu na watu kwa kusgawishiwa kuwa hilo lilikua jambo bora walishangila na kuona kuwa ni kitu cha kawaida.
Hali iliendelea hivyo kwa karne nyingi na mwafrika aliyepinga aliadhibiwa vikali.
Walipinga kwa siri sana.
....Mpaka wakoloni weupe walipokuja ndipo walipoanza kupinga na kupambana na mila potofu zilizotumika kuua watu na kudhalilisha watu.
Karne 21 kuna watu bado wanafurahia kuuawa kwa binadam wenzao mfano ni Msibamsibamkuu. Huyu anatangaza na kuhamasisha kuuawa kwa watu ili iwe kafara ya maendeleo.
Haya ndiyo yaliyowafanya waafrika wapenda haki kuanzisha harakati za ukombozi na kupambana kwa nguvu zote na kuwatoa wakoloni katili weupe .
Hata hivyo kwa bahati mbaya wazungu walifanikiwa kuwaweka madarakani wakoloni weusi kwa katiba,sheria,mitizamo,mifumo na mitizamo ile ile waliyokuwa nayo.
Mpaka leo Afrika hawajapata kile babu zatu walichokidai toka kwa wakoloni ,yaani Utu ,haki na usawa.
Mareli,mabarabara na majumba hayawezi kuwa mbadala wa maisha ya ndugu zetu.
Kama kuna mzalendo kuliko wote anayependa madaraja ,Mareli,mandege,mabarabara kuliko uhai wake na wa familia yake tunaomba ajitokeze afanye jambo dogo sana ili reli zijengwe kwa jasho lake pia yaani atoe pesa zake zote na mali zake zote na mshahara wake ubaki kwa ajili ya chakula cha kubangaiza alimradi maendeleo ya vitu yawepo huku familia yake ikiishi maisha ya shida. Wafanye hivyo kwa sababu uhai sio jambo la maana kama madaraja. Wangeweza kufanya haya kwa ajili ya kulijenga taifa ningewaamini na ningewapinga wale wanaosema maendeleo yaanze kwa wote kuwa na maisha bora na kulinda uhai na maisha ya wote kwa usawa bila kujali vyama.
Naamini Mali walizonazo makada wa wa chama kikubwa na kikongwe Barani Afrka wakiziuza na kupeleka pesa zao zote hazina ili zikatumike kujenga miundo mbinu basi Tanzania ingekua paradiso kwa mabustani na miundo mbinu mizuri. Na maskini wasingeumizwa na makodi makodi kila siku.
Lakini watu hao wasiojali maisha ya binadam wenzao Pesa na mishahara minono kwao ni muhimu lakini kwa wananchi pesa sio muhimu na hawatakiwi wawe nazo bali wafunge mikanda. Wao wana maisha mazuri kwa pesa za walipa kodi. Wao wana Mali nyingi kupitia mishahara na maslahi mazuri waliojiwekea na wanagombania kupata vyeo ili wasikose maslahi halafu wanatudanganya kuwa tufunge mikanda.
Vitabu vya dini vinasema usimtendee mwenzako kile ambacho hungependa utendewe .
Ningewakubali wakoloni na mabeberu weusi kama wangejitoa muhanga kulijenga Taifa kwa kujitoa kwa moyo hata miaka kumi tu.
Wangeamua kukataa magari ya kifahari yanayoligharimu taifa na kuwaumiza walipa kodi wasio na hata baskeli. Wangekataa kukimbilia kujenga maofisi yasiyozalisha chchote badala yake wakajenga viwanda.
Wangepunguza misururu ya misafara inayotumia mafuta malaki ya lita. Mafuta yanayoagizwa kutoka nje kwa kodi za wananchi . Misafara ya kwenda kuzindu choo kimoja cha shimo.
Ningewaona wazalendo na wenye nia ya dhati kwa kutumia TV ya Taifa kuhamasisha haki na kukataa kizazi kinachonufaika na dhulma.
Ukishangilia Wizi wa kura na kunyanganya wagombea formu za kugombea ili mtoto wa chama fulani apate kwa dhulma ni kuhamasisha kizazi cha kihalifu. Kizazi kisichopenda haki,kizazi chenye ubaguzi,kizazi kisicho na usawa, kizazi chenye kuamini kuwa bila dhulma huwezi kupata mafanikio.
Ndio maana chaguzi za Afrika zimegubikwa na ushirikina.
Sent using Jamii Forums mobile app
yani hapo hakuna hoja hata moja yani akuambie waliomteka MO,Roma na walio mshambulia lisu ye anawajuaje si ukaulize polisi ndo wanazo hizo taarifa
uwanja wandege kwani ye ndo mamlaka ya anga mbona mikoa mingi tu kuna viwanja vya ndege
mikutano ya kisiasa ipi ni jana tu tarehe 10 mbunge wako wa tarime vijijini amefanya mkutano
sasa sijui mnataka nini kila kitu kipo wazi
Nivema ukapima mwenyewe kati ya ww na mm nani mjinga hoja yangu nilikuwa nasubiri mnipe sera ambazo mnazisimamia na kujipambanua kwa wananchi wewe unakuja na tuhuma, anyway 2020 inakaribia iko siku utakuja nielewa tuu.. endeleeni kutembea uchi na tuhuma zenu mdomoni maana ndio sera zenu zilizobaki
Daaaaaah leo Dr. slaa mnampa tuhuma zote hizi,,,!!! licha ya mambo makubwa aliowafanyia chadema. ila ukweli utawaweka huru toka atoke dr slaaa Chadema Hamna kitu kabisa, mnakufa mnajiona, Chutameni tafadharini mnaumbukaaaMagufuli hachapi kazi na wananchi hawaoni chochote zaidi ya wizi wa trilion 1.5 , kuuza makinikia kimya kimya kuminya pesa peke yake kula 10% kwenye miladi ya flyover, Reli, bomba la mafuta ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge, kutumia pesa nyingi za walipa kodi kuminya demokrasia kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani huku akizuia mikutano ya Siasa kwa sheria za kienyeji akiogopa Wapinzani kuanika maovu yake kweupe, CCM ni ile ile hata Dr Slaa ni mwizi alichukua Dola milion mbili akawatoroka wenzake kipindi cha kampeni hana mfano wa kuigwa kwanza ni mzinzi aliwahi kufumaniwa Dodoma na mke wa mtu huku mke anayeishi nae pia alimpora mtu.
Kumbe unatambua kuwa humu kwenye mitandao ya kijamii tumewalaza chali nyinyi maccm??Wao wamekalia oh mikutano ya hadhara sijui nini. Halafu wanapenda sana kujidanganya na mitandao ya kijamii huku chama tawala kinapambana kujizatiti kwa mikakati endelevu. Kwa mfano haya machadema hata kufanya tu ukarabati wa makao yao makuu imekuwa shida tupu. Hawa kweli wakipewa dola sijui itakuwaje Mungu wangu.
bado ni hojauna hoja dhaifu mno !
Kumbe unatambua kuwa humu kwenye mitandao ya kijamii tumewalaza chali nyinyi maccm??
Hivi unajua ni kwanini huko uraiani mnatamba nyinyi tu maccm??
Kwa kuwa mnabebwa na hao mapolisi wenu, wakati humu kwenye mitandao ya kijamii, is the only place where we dare to talk openly
bado ni hoja
kabla hamjaanza kushutumu kuwa serikali ya awamu ya Tano inadhamira ya kuua na kuufuta upinzani nchini ni vema mkajiaangalia mienendo yenu na kisha mkajitathmini ni nani hasa ambae anataka kuutokomeza upinzani Nchini, ni serikali au Upinzani wenyewe?
Miaka ya 2005 ,2010 na 2015 upinzani ulijizolea umaarufu sana kwa wananchi kwa kuwa na sera bora ambazo zilijipambanua vyema kwa wananchi na wananchi walizielewa kwa urahisi kiasi cha kuwakubali na hivyo kujenga imani kwao. sera kama ya kupambana na mafisadi ambayo Dr. Slaa aliisimamia kwa nguvu zote au utawala wa kimajimbo ambayo Mbowe kamanda wa anga alikuwa akisimamia unaona kabisa zilikuwa zikivuta hisia kwa wananchi walio wengi. nakumbuka pia namna Dr. Slaa alivyokuwa anaweza kujenga hoja zenye ushahidi wa kutosha bungeni na nchi nzima Dr. Slaa na akina Zitto Kabwe walijipatia umaarufu kwa hoja kali Bungeni.
Hali imekuwa tofauti sasa upinzani leo hii ukiwaambia wawaeleze wananchi ajenda yao wanayo isimamia kama chama pinzani sina shaka kabisa kuwa hawana na kama wanayo basi hawana nguvu ya kuisimaimia mbele ya wananchi. mbaya zaidi hoja ambazo zilikuwa zinawapambanua na kuwatofautisha na chama tawala ndizo ambazo serikali au chama tawala ndio wanazitekeleza kwa nguvu zote na hivyo kuwafanya wakose hoja za kusimamia.
Ninachokiona kwa upinzani kwa sasa ni hoja za kudandia au bendela fuata upepo, leo ikija hoja ya korosho basi wapinzani wote watahamia katika mitandao ya kijamii na wataishupalia na kuonyesha umahili na ujuaji wao kuhusu suala husika, kesho lijitokeza suala la maduka ya kubadilishia fedha basi wanasahau korosho wanahamia maduka ya kubadilishia fedha.
Mwisho wa siku 2020 hii hapa. Magufuli atawaambia wananchi Mnaziona Barabara, Hospitali,Reli,Elimu bure, Upatikanaji wa umeme, madawa, maji nk.... sasa sijui nyie mtaonyesha nini?
Ninachokiona ni kuwa upinzani wamekosa watu wenye maono na uwezo mkubwa wa kuandaa sera na ajenda za kitaifa kama walivyokuwa enzi za kina Dr. Slaa na kundi lake hivyo kabla hawajaaza kumtafuta anaeua upinzani wajitafakali wenyewe na kuona wanaanguka wapi ? Magufuli Anachapa kazi na wananchi wanaona na vile vizuri anavyovifanya na nyie mnavipinga kwa kudai mnataka maendeleo ya watu badala ya vitu wananchi wanawashangaa pia.
uzuri ni kwamba sina chama sio ccm wala Chadema ila nimewaambia chutameni, hivyo ni uamuzi wenu kukimbia uchi au kuchutama msaidiwe kujisitiriKumbe unatambua kuwa humu kwenye mitandao ya kijamii tumewalaza chali nyinyi maccm??
Hivi unajua ni kwanini huko uraiani mnatamba nyinyi tu maccm??
Kwa kuwa mnabebwa na hao mapolisi wenu, wakati humu kwenye mitandao ya kijamii, is the only place where we dare to talk openly
mbuzi mtoto na mbuzi mkubwa wote ni mbuzi tuuBado haijawa hoja na kama Le mutuz kakuzuga ni hoja ujue Le mutuz ni kubwa jinga na endapo umekariri Tabia zake ujie umebugi kiasi cha kutisha
lete yako ww unaefikiri mpaka mbinguni ingawa mie natamani uniambie tu ajenda na sera zenu mnazozisimamia na kujipambanua basi, mpaka sasa mnaojiita ma great thinker sijaona mkinieleza hiloKufikiri kwako kumeishia hapo!!!
Ingekuwa hoja dhaifu zaidi kama ungetaja sera za upinzaniuna hoja dhaifu mno !
Naungana na kila mtu anayelaumu mabaya ya Magufuli..... labda hii ni moja ya sera kuu? dont knowBinadam bora na mstarabu haangalii amefanya kipi cha kufurahisha watu bali asifanye nini cha kuumiza watu.
Baadhi ya makabila na mila Afrika ,zamani watoto wenye ulemavu walitupwa kwenye miamba mirefu na watu kwa kusgawishiwa kuwa hilo lilikua jambo bora walishangila na kuona kuwa ni kitu cha kawaida.
Hali iliendelea hivyo kwa karne nyingi na mwafrika aliyepinga aliadhibiwa vikali.
Walipinga kwa siri sana.
....Mpaka wakoloni weupe walipokuja ndipo walipoanza kupinga na kupambana na mila potofu zilizotumika kuua watu na kudhalilisha watu.
Karne 21 kuna watu bado wanafurahia kuuawa kwa binadam wenzao mfano ni Msibamsibamkuu. Huyu anatangaza na kuhamasisha kuuawa kwa watu ili iwe kafara ya maendeleo.
Haya ndiyo yaliyowafanya waafrika wapenda haki kuanzisha harakati za ukombozi na kupambana kwa nguvu zote na kuwatoa wakoloni katili weupe .
Hata hivyo kwa bahati mbaya wazungu walifanikiwa kuwaweka madarakani wakoloni weusi kwa katiba,sheria,mitizamo,mifumo na mitizamo ile ile waliyokuwa nayo.
Mpaka leo Afrika hawajapata kile babu zatu walichokidai toka kwa wakoloni ,yaani Utu ,haki na usawa.
Mareli,mabarabara na majumba hayawezi kuwa mbadala wa maisha ya ndugu zetu.
Kama kuna mzalendo kuliko wote anayependa madaraja ,Mareli,mandege,mabarabara kuliko uhai wake na wa familia yake tunaomba ajitokeze afanye jambo dogo sana ili reli zijengwe kwa jasho lake pia yaani atoe pesa zake zote na mali zake zote na mshahara wake ubaki kwa ajili ya chakula cha kubangaiza alimradi maendeleo ya vitu yawepo huku familia yake ikiishi maisha ya shida. Wafanye hivyo kwa sababu uhai sio jambo la maana kama madaraja. Wangeweza kufanya haya kwa ajili ya kulijenga taifa ningewaamini na ningewapinga wale wanaosema maendeleo yaanze kwa wote kuwa na maisha bora na kulinda uhai na maisha ya wote kwa usawa bila kujali vyama.
Naamini Mali walizonazo makada wa wa chama kikubwa na kikongwe Barani Afrka wakiziuza na kupeleka pesa zao zote hazina ili zikatumike kujenga miundo mbinu basi Tanzania ingekua paradiso kwa mabustani na miundo mbinu mizuri. Na maskini wasingeumizwa na makodi makodi kila siku.
Lakini watu hao wasiojali maisha ya binadam wenzao Pesa na mishahara minono kwao ni muhimu lakini kwa wananchi pesa sio muhimu na hawatakiwi wawe nazo bali wafunge mikanda. Wao wana maisha mazuri kwa pesa za walipa kodi. Wao wana Mali nyingi kupitia mishahara na maslahi mazuri waliojiwekea na wanagombania kupata vyeo ili wasikose maslahi halafu wanatudanganya kuwa tufunge mikanda.
Vitabu vya dini vinasema usimtendee mwenzako kile ambacho hungependa utendewe .
Ningewakubali wakoloni na mabeberu weusi kama wangejitoa muhanga kulijenga Taifa kwa kujitoa kwa moyo hata miaka kumi tu.
Wangeamua kukataa magari ya kifahari yanayoligharimu taifa na kuwaumiza walipa kodi wasio na hata baskeli. Wangekataa kukimbilia kujenga maofisi yasiyozalisha chchote badala yake wakajenga viwanda.
Wangepunguza misururu ya misafara inayotumia mafuta malaki ya lita. Mafuta yanayoagizwa kutoka nje kwa kodi za wananchi . Misafara ya kwenda kuzindu choo kimoja cha shimo.
Ningewaona wazalendo na wenye nia ya dhati kwa kutumia TV ya Taifa kuhamasisha haki na kukataa kizazi kinachonufaika na dhulma.
Ukishangilia Wizi wa kura na kunyanganya wagombea formu za kugombea ili mtoto wa chama fulani apate kwa dhulma ni kuhamasisha kizazi cha kihalifu. Kizazi kisichopenda haki,kizazi chenye ubaguzi,kizazi kisicho na usawa, kizazi chenye kuamini kuwa bila dhulma huwezi kupata mafanikio.
Ndio maana chaguzi za Afrika zimegubikwa na ushirikina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rubbishkabla hamjaanza kushutumu kuwa serikali ya awamu ya Tano inadhamira ya kuua na kuufuta upinzani nchini ni vema mkajiaangalia mienendo yenu na kisha mkajitathmini ni nani hasa ambae anataka kuutokomeza upinzani Nchini, ni serikali au Upinzani wenyewe?
Miaka ya 2005 ,2010 na 2015 upinzani ulijizolea umaarufu sana kwa wananchi kwa kuwa na sera bora ambazo zilijipambanua vyema kwa wananchi na wananchi walizielewa kwa urahisi kiasi cha kuwakubali na hivyo kujenga imani kwao. sera kama ya kupambana na mafisadi ambayo Dr. Slaa aliisimamia kwa nguvu zote au utawala wa kimajimbo ambayo Mbowe kamanda wa anga alikuwa akisimamia unaona kabisa zilikuwa zikivuta hisia kwa wananchi walio wengi. nakumbuka pia namna Dr. Slaa alivyokuwa anaweza kujenga hoja zenye ushahidi wa kutosha bungeni na nchi nzima Dr. Slaa na akina Zitto Kabwe walijipatia umaarufu kwa hoja kali Bungeni.
Hali imekuwa tofauti sasa upinzani leo hii ukiwaambia wawaeleze wananchi ajenda yao wanayo isimamia kama chama pinzani sina shaka kabisa kuwa hawana na kama wanayo basi hawana nguvu ya kuisimaimia mbele ya wananchi. mbaya zaidi hoja ambazo zilikuwa zinawapambanua na kuwatofautisha na chama tawala ndizo ambazo serikali au chama tawala ndio wanazitekeleza kwa nguvu zote na hivyo kuwafanya wakose hoja za kusimamia.
Ninachokiona kwa upinzani kwa sasa ni hoja za kudandia au bendela fuata upepo, leo ikija hoja ya korosho basi wapinzani wote watahamia katika mitandao ya kijamii na wataishupalia na kuonyesha umahili na ujuaji wao kuhusu suala husika, kesho lijitokeza suala la maduka ya kubadilishia fedha basi wanasahau korosho wanahamia maduka ya kubadilishia fedha.
Mwisho wa siku 2020 hii hapa. Magufuli atawaambia wananchi Mnaziona Barabara, Hospitali,Reli,Elimu bure, Upatikanaji wa umeme, madawa, maji nk.... sasa sijui nyie mtaonyesha nini?
Ninachokiona ni kuwa upinzani wamekosa watu wenye maono na uwezo mkubwa wa kuandaa sera na ajenda za kitaifa kama walivyokuwa enzi za kina Dr. Slaa na kundi lake hivyo kabla hawajaaza kumtafuta anaeua upinzani wajitafakali wenyewe na kuona wanaanguka wapi ? Magufuli Anachapa kazi na wananchi wanaona na vile vizuri anavyovifanya na nyie mnavipinga kwa kudai mnataka maendeleo ya watu badala ya vitu wananchi wanawashangaa pia.
Embu soma tena ulichosoma kama utaelewakabla hamjaanza kushutumu kuwa serikali ya awamu ya Tano inadhamira ya kuua na kuufuta upinzani nchini ni vema mkajiaangalia mienendo yenu na kisha mkajitathmini ni nani hasa ambae anataka kuutokomeza upinzani Nchini, ni serikali au Upinzani wenyewe?