Upinzani chutameni, mpo Uchi

hakuna mahala nilipo waita watanzania ni wajinga? bali nimesema watanzania wanaona yanayofanywa na kila mtu chama tawala na pinzani, hivyo suala ni lenu kuchutama au kuendelea kutembea uchi 2020 inakaribia
Huwezi kumuelewa na kama ungemuelewa ningeshangaa maana lumumba pamejaa vilaza!
Anachosema ni kuwa,watz sio wajinga kitoelewa propaganda cheap uliyoandika!Usidhani wasomaji ni watoto wadogo kwamba akilj unamwambia ateme mate umchape mbaya naye anaridhika!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
yani hapo hakuna hoja hata moja yani akuambie waliomteka MO,Roma na walio mshambulia lisu ye anawajuaje si ukaulize polisi ndo wanazo hizo taarifa
uwanja wandege kwani ye ndo mamlaka ya anga mbona mikoa mingi tu kuna viwanja vya ndege
mikutano ya kisiasa ipi ni jana tu tarehe 10 mbunge wako wa tarime vijijini amefanya mkutano

sasa sijui mnataka nini kila kitu kipo wazi

Ona huyu kilaza,anasema eti viwanja vinajengwa na mamlaka ya anga!Lumumba vilaza sana!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huwezi kumuelewa na kama ungemuelewa ningeshangaa maana lumumba pamejaa vilaza!
Anachosema ni kuwa,watz sio wajinga kitoelewa propaganda cheap uliyoandika!Usidhani wasomaji ni watoto wadogo kwamba akilj unamwambia ateme mate umchape mbaya naye anaridhika!!!!!
uzuri ni kwamba hata ww unaedai kuwa umeelewa zaidi inaonesha kuwa bado haujaelewa pia, soma vizuri....
 
Rubbish
Unafikiri kila mtu anawaza mawazo yako
Mkimaliza kuua na kuteka kudhulumu na kuminya demokrasia ndio mje muandike huu upupu wenu
All I can say ' You are out of your mind'
hizi ndio sera mlizobakiwa nazo ambazo mnaweza kusimama nazo kwa wananchi na wakawaelewa, matusi, kejeli na tuhuma ambazo mkiambiwa mthibitishe hamuwezi.
 
Hivi mtu mwenye akili timamu wawezaje kuisifu serikali inayofanya ujambazi wa kiwango hicho??

Ningeondoa huko 'kusifu' alikofanya mleta mada na kutupilia mbali.

Baada ya kufanya hivyo, yale mengine aliyoyaweka humo ningeyachambua kwa umakini mkubwa kama ningekuwa na sauti yoyote ndani ya vyama vya upinzani.

'Mystery', umetoa 'rebutal' makini sana juu ya hayo aliyoyaweka kama sababu za CCM kuendelea kuwavutia wananchi.

Lakini CHADEMA na wenzao sasa wanatakiwa wawe na mikakati ya kuyawasilisha haya, yawaingie na kuwakorea kabisa wananchi. Ni mambo mazito sana yanayohitaji kuelezwa vizuri kwa wananchi, na mifano hai ikitolewa, isionekane kuwa uzushi, kama wanavyotaka CCM wananchi wayachukulie.

Hoja ya 'Sera' ni mhimu sana. Hata kama baadhi ya mambo yao yamechukuliwa na CCM na kufanyiwa kazi, hiyo haina maana kwamba CHADEMA mambo hayo wamenyang'anywa. Kama waliyaamini, inatakiwa waendelee kuyasisitiza na kuonyesha njia ambazo wangezitumia kuyafanikisha zaidi ya hao CCM wanavyofanya.

Chukulia mfano wa 'elimu bure' na utekelezaji wake. Kama CCM wameitekeleza hii, haina maana kwamba CHADEMA hawawezi tena kuitumia kujitofautisha na jinsi CCM ilivyoiparamia. Hali kadhalika na mengineyo yaliyoporwa.

Udhaifu ninaouona sasa hivi, ni hali ya 'mgando' inayowakabili wapinzani wakati huu.

Sina hakika kama mgando huu unatokana na hali ngumu inayowakabili katika utendaji wao 'pekee'.
Nadhani kuna sababu nyingine zaidi ya uonevu wanaofanyiwa zinazowasababishia kuwa na hali ya kutoonyesha uhai katika mambo yao ya siasa

Sina hakika kama wapinzani watahimili miaka mitano mingine ya CCM chini ya Magufuli.
Ukweli ni kwamba naiona Tanzania tofauti kabisa baada ya 2020, kama hali itaendelea au kuzidi inayoonekana sasa.

Tuzidi kuliombea Taifa letu.
 
hakuna mahala nilipo waita watanzania ni wajinga? bali nimesema watanzania wanaona yanayofanywa na kila mtu chama tawala na pinzani, hivyo suala ni lenu kuchutama au kuendelea kutembea uchi 2020 inakaribia
Mbona haujayataja ya kuteka,kutesa,kuua,kulazimisha kujiunga na CCM,wizi wa kura na kulazimisha chaguzi nk.Kwani hayo Watanzania hawayaoni?Utadai ushahidi.Muhalifu huwa anakuachia ushahidi kiurahisi tu?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
uzuri ni kwamba sina chama sio ccm wala Chadema ila nimewaambia chutameni, hivyo ni uamuzi wenu kukimbia uchi au kuchutama msaidiwe kujisitiri

Niliamini hivyo niliposoma mada yako; lakini ulizidisha mapenzi na hayo mabarabara na mareli hadi ukaonekana kuwa hayo mavifaa yamekupofusha, na ukadhani wananchi pia yatawapofusha na wasahau kuwa "utu wao" ni bora na mhimu zaidi ya hayo mandege.

Unapotetea na kuona yanayolalamikiwa kuwa "tuhuma" tu, utokuwa kwako na ufuasi wa chama au wa( kiongozi?) unakuwa hafifu.
Hiyo ndio sababu inayofanya watu wakuone katika rangi unayoikana.
 
Ningeondoa huko 'kusifu' alikofanya mleta mada na kutupilia mbali.

Baada ya kufanya hivyo, yale mengine aliyoyaweka humo ningeyachambua kwa umakini mkubwa kama ningekuwa na sauti yoyote ndani ya vyama vya upinzani.

'Mystery', umetoa 'rebutal' makini sana juu ya hayo aliyoyaweka kama sababu za CCM kuendelea kuwavutia wananchi.

Lakini CHADEMA na wenzao sasa wanatakiwa wawe na mikakati ya kuyawasilisha haya, yawaingie na kuwakorea kabisa wananchi. Ni mambo mazito sana yanayohitaji kuelezwa vizuri kwa wananchi, na mifano hai ikitolewa, isionekane kuwa uzushi, kama wanavyotaka CCM wananchi wayachukulie.

Hoja ya 'Sera' ni mhimu sana. Hata kama baadhi ya mambo yao yamechukuliwa na CCM na kufanyiwa kazi, hiyo haina maana kwamba CHADEMA mambo hayo wamenyang'anywa. Kama waliyaamini, inatakiwa waendelee kuyasisitiza na kuonyesha njia ambazo wangezitumia kuyafanikisha zaidi ya hao CCM wanavyofanya.

Chukulia mfano wa 'elimu bure' na utekelezaji wake. Kama CCM wameitekeleza hii, haina maana kwamba CHADEMA hawawezi tena kuitumia kujitofautisha na jinsi CCM ilivyoiparamia. Hali kadhalika na mengineyo yaliyoporwa.

Udhaifu ninaouona sasa hivi, ni hali ya 'mgando' inayowakabili wapinzani wakati huu.

Sina hakika kama mgando huu unatokana na hali ngumu inayowakabili katika utendaji wao 'pekee'.
Nadhani kuna sababu nyingine zaidi ya uonevu wanaofanyiwa zinazowasababishia kuwa na hali ya kutoonyesha uhai katika mambo yao ya siasa

Sina hakika kama wapinzani watahimili miaka mitano mingine ya CCM chini ya Magufuli.
Ukweli ni kwamba naiona Tanzania tofauti kabisa baada ya 2020, kama hali itaendelea au kuzidi inayoonekana sasa.

Tuzidi kuliombea Taifa letu.
unastahili kuwa Jf-Expert sio wengine ma -expert vichwa maji tuu.... Heshima yako mkuu
 
Hongera sana kwa thread! Umejitahidi Sana. Tutakuongezea buk 2 ziwe 9.
Screenshot_2019-03-12-06-32-55.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada Rukia Mbonde Upo shallow Sana. "Yani" nyingiiii. Buk 2
yani hapo hakuna hoja hata moja yani akuambie waliomteka MO,Roma na walio mshambulia lisu ye anawajuaje si ukaulize polisi ndo wanazo hizo taarifa
uwanja wandege kwani ye ndo mamlaka ya anga mbona mikoa mingi tu kuna viwanja vya ndege
mikutano ya kisiasa ipi ni jana tu tarehe 10 mbunge wako wa tarime vijijini amefanya mkutano

sasa sijui mnataka nini kila kitu kipo wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana kwa thread! Umejitahidi Sana. Tutakuongezea buk 2 ziwe 9. View attachment 1043553

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa taarifa yako tuu,,, sitegemei kulipwa na yeyote nafanya yangu kwa uhuru wangu, nimeingia jf kama ww ulivyoingia jf na baadae ukawa mwenyeji, sijaona mahali palipoandikwa new memba wanalipwa buku mbili, au wakakatazwa kuchangia mada zilizopo ubaoni,
Nijuavyo mm ukitoa hoja na mwingine akakushambulia personality yako basi jua kakosa hoja za kukujibu
 
Back
Top Bottom