Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Kwani hata ikiwekwa tume huru mna hakika mtashinda nyinyi?.Halafu wanawatabiria wapiga kura. CCM ukiwambia tume huru hiyooo! wanakimbia
Kwani hata ikiwekwa tume huru mna hakika mtashinda nyinyi?.Halafu wanawatabiria wapiga kura. CCM ukiwambia tume huru hiyooo! wanakimbia
Kusema ule ukweli kabisa, Sisemei sisiemu, nasemea Kwa Jemedari Magufuli, atapita Kwa kishindo kikubwa tangu kuwepo uchaguzi unaoshirikisha vyama vingi nchiniCCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Betri itaisha chaji ?CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app