Zambavuni
Senior Member
- May 24, 2012
- 118
- 26
Kubali au usikubali, ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais haina mjadala. JPM atashinda kwa kishindo.
Busara zingetumika kwa wapinzani wasome alama za nyakati na wakae pembeni ili JPM apite bila kupingwa na fedha za kampeni afanyie vitu vya maana kwa maendeleo ya nchi.
Msionyeshe uwepo wenu, tunawajua kwamba mpo na mtaendelea kuwepo.