Mkuu hichi kipimo kikiwa rahisi ndoa nyingi zitavunjika na kupelekea watoto wengi wa mitaani tuendelee kulea tu hamna namna.
Bado sijaelewa madhumuni ya Mkemia Mkuu kuwasilisha taarifa potoshi namna ile! Taarifa imewakilishwa kama matokeo ya utafiti rasmi wakati yalikuwa ni matokeo ya sampuli za watu waliokwenda kupimwa wakiwa katika ubishi wa kisheria.
Upimaji na utoaji holela matokeo ya DNA unakwenda kinyume cha maadili ya kisayansi na naishangaa wizara ya kina Kigwangala "kupotezea" upotoshaji huu na kuhangaika na waganga wa asili ambao baadhi matibabu yao yameleta matumaini na wameonyesha uwezo wa kufahamu wanachofanya hata zaidi ya hao Vigwangala!
Acheni UZINIFU...oeni au oleweni kihalali na hapo mtakua free from any doubt....fuateni misingi ya dini.

DNA kwa Tz ipo kwa mkemia mkuu wa serikali tuuu,na inatumika kutambua vinasaba mbalimbali hata vya wahalifu pia ,lakini kufikia maamuzi ya kupima ni lazima muwe mmeanza mbali na mzazi mwenzio i mean kuwe na mgogoro mahakamani ambao mahakama kwa busara zake itaona kuwa ili kutatua mgogoro huo ni lazima utambuzi wa vinasaba vya wazazi uwepo,na wanaopimwa husindikizwa na majibu hawapewi wao huwa yanarudishwa mahakamani kisha mahakama inaamua kifuatacho.
Hapana Acheni kupotosha, kupima ni hiari au kuwe na mgogoro katika familia. Cha kufanya ni kupata barua ya mtaa inayokutambulisha ukazi wako kwenye huo mtaa, unaenda nayo ustawi wa jamii na kueleza malalamiko yako, wao wanakuandikia barua ya kwenda kwa mkemia mkuu na wao wanaipokea na kukupa acc yao ukalipe na kuwapangia tarehe ya kupima, mkishapima mnasubiria majibu ambayo mtapewa kupitia afisa ustawi wa jamii aliyesikiliza hayo malalamiko, endapo unaona ustawi ni njia ndefu waweza mtumia hata wakili yeyote yule badala yake. Haina haja ya kukimbilia mahakamani moja kwa moja.
Mkuu hichi kipimo kikiwa rahisi ndoa nyingi zitavunjika na kupelekea watoto wengi wa mitaani tuendelee kulea tu hamna namna.
Mkuu hichi kipimo kikiwa rahisi ndoa nyingi zitavunjika na kupelekea watoto wengi wa mitaani tuendelee kulea tu hamna namna.
Je naruhusiwa kuwapeleka Watoto wangu kupima DNA kwa siri bila mama yao kujua?
Molembe, unamsikia mdau sasa anavyosema,sasa si bora viwe kipoa tu
Sasa mkuu huu ni ushauri gani,kwa hyo waendelee kulea damu zisizokuwa zao kwa sababu hyo???,mi naona kipimo kikiwa rahisi ndio fresh kwani madada zetu ndo watatuzalia watoto wetu halisi na si wa kubambikiziwa kama hv sasa