Tujadiliane. Kumezuka hoja kuwa Yanga wananyonywa kimapato kwa kupata Tsh 1,300 @ jezi katika mkataba wao wa jezi za msimu huu. Hoja hii haijafafanua chochote juu ya gharama za utengenezaji na hata malipo mengine yaliyoainishwa kwenye mkataba husika.
Sasa naomba tujadiliane, kati ya huo unaoitwa unyonyaji na ule uuzaji wa hisa (49%) za klabu kwa Tsh 20 bn, upi ni unyonyaji? Bilioni 20 ambazo haziwezi hata kujenga uwanja wa kuchukua watu 30k ni thamani halisi ya timu kubwa?