zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,247
- 39,832
atlantis inasemekana ni bara ambalo lilipotelea baharini mamilioni ya miaka iliyopita, iyo idea aliianzisha plato lakini wengi hawakumuelewa walimbeza na kumuona kama kachanganyikiwa,
lakini baadhi ya wanasayansi waliyafanyia kazi mawazo yake na kuanza kulitafuta bara ilo bila mafanikio hatimaye january ya mwaka 2017 mwanasayansi prof lewis ashwal wa witwatersrands university south afrika aligundua bara kubwa chini ya bahari ya hindi karibu na kisiwa cha mauritius aliloliita mauritia.
alipochukua vipande vya mawe kutoka bara ilo lililo chini ya bahari ya hindi aligundua yale mawe yenye madini ya zircon yana umri wa miaka bilioni tatu, then akachukua mawe katika kisiwa cha mauritius ambacho kimetokana na volkano akagundua yana umri wa miala milioni9 ilo bara lina umri mkubwa kuliko mauritius na ata bahari zote akahitimisha kwa kusema ilo bara lilitokea kipindi gondwana inasplit apart kuunda continents tulizonazo leo. so plato alikua sahihi kusema kulikua na bara na kingdom kubwa iliyopotelea baharini.
...Samahani mkuu naomba kueleweshwa kidogo hivi Fallen Angel walipokutana kingono na Binadam Ndipo akazaliwa Nephilims!??au Nephilims walikuwepo kabla ya Fallen Angels.??ni hayo tu ntashukuruBara la Atlantis kipindi cha Nuhu kurudi nyuma lilikua likitumiwa kama Base/makazi ya Viumbe waliopatikana baada ya Fallen angels kuingiliana kingono na binaadam (WANEFILI)
Baadae lilipotea hilo bara na kubaki barafu tu lakini mpango uliopo sasa hv under secret societies (Iluminat) ni kulirudisha tena na kurudisha Nephilism bloodline. Soon we are reached NWO
Hawa watarudishwa tena, kuna watu hybrid watatengenezwa maabara watakuja kuitawala dunia...Samahani mkuu naomba kueleweshwa kidogo hivi Fallen Angel walipokutana kingono na Binadam Ndipo akazaliwa Nephilims!??au Nephilims walikuwepo kabla ya Fallen Angels.??ni hayo tu ntashukuru
...Samahani mkuu naomba kueleweshwa kidogo hivi Fallen Angel walipokutana kingono na Binadam Ndipo akazaliwa Nephilims!??au Nephilims walikuwepo kabla ya Fallen Angels.??ni hayo tu ntashukuru
UWONGO wa mchana kweupe.Hawa watarudishwa tena, kuna watu hybrid watatengenezwa maabara watakuja kuitawala dunia
Nephillism hawakuwepo before walikuja kujitokeza baada ya falling angel kuwa sex binadamu ,na hali haikundulika mapema ilikuja onekana baada ya mitoto kuwa mikubwa bila kikomo ndo wakashamga nakuanza kujiuliza what happen...Samahani mkuu naomba kueleweshwa kidogo hivi Fallen Angel walipokutana kingono na Binadam Ndipo akazaliwa Nephilims!??au Nephilims walikuwepo kabla ya Fallen Angels.??ni hayo tu ntashukuru
Asante kwa hiyo Nephilims ni Uzao(mitoto) ya fallen angels na Binadamu....Nephillism hawakuwepo before walikuja kujitokeza baada ya falling angel kuwa sex binadamu ,na hali haikundulika mapema ilikuja onekana baada ya mitoto kuwa mikubwa bila kikomo ndo wakashamga nakuanza kujiuliza what happen
Nimesoma article mbalimbali na hicho kitabu cha criteas cha Plato amegusia habari ya atlantis kuwa ni bara liliozaa maendeleo yote tunayoyaona leo ila lilizama baharini sasa theory nyingine inadai ndio Antarctica ya sasa ndio maana nkaona nilete humu ili nipate feedback nzuri zaidi kwa waliopitia nadharia hiiNikajua majibu unayo
Ok kama waliondolewa na gharika ya Nuhu kivp wana wa israel walipotaka kuingia Cannan waliogopa sababu walikutana na majitu makubwa hadi wao kuonekana kma panzi tu........ Je hao majitu makubwa kma wanefili walitokea wapi ilihali gharika lilikwisha???Fallen angels..wakiongozwa na Azazel ndio waliingiana na binaadam wakatokea Nephills so Nephils ndo Product ya Fallen angel.
Remember baada ya hao malaika 200 kushuka duniani Mungu aliwafunga kuzimu Wakisubiri hukumu yao ila Nephills bliidline waliondolewa na Gharika kuu ya Nuhu..
Ok kama waliondolewa na gharika ya Nuhu kivp wana wa israel walipotaka kuingia Cannan waliogopa sababu walikutana na majitu makubwa hadi wao kuonekana kma panzi tu........ Je hao majitu makubwa kma wanefili walitokea wapi ilihali gharika lilikwisha???
Je kizazi cha Aruba na Annunaki vilitokea wapi
Imani nyingine bwana,Hawa watarudishwa tena, kuna watu hybrid watatengenezwa maabara watakuja kuitawala dunia
Nakumbuka nilipokuwa Mwenge Sec (Singida) mwaka 1972 nilipendelea sana kusoma vitabu vya Erich von Däniken. Huyu mwandishi ameandika vitabu kadhaa vinavyohusu Atlantis. Kitabu nilichokirudia rudia na hadi sasa nakikumbuka ni Chariots of the Gods? na vitabu vingine. Ni muda mrefu sana umepita na hiyo ilikuwa shauku ya ujanani ingawa kwa sasa siamini tena haya masuala. Tafuta vitabu vya huyu Erich von Däniken ameeleza sana kuhusu "extraterrestials" ambao waliitembelea dunia zama za kale. Na nadhani kwa zama hizi za utandawazi inawezekana kuna video zake youtube pia; kwa sababu ameshatengeneza DVDs na vipindi (documentaries) kadhaa vya television.Nimesoma article mbalimbali na hicho kitabu cha republic cha Plato amegusia habari ya atlantis kuwa ni bara liliozaa maendeleo yote tunayoyaona leo ila lilizama baharini sasa theory nyingine inadai ndio Antarctica ya sasa ndio maana nkaona nilete humu ili nipate feedback nzuri zaidi kwa waliopitia nadharia hii
Ahsante