Muda upi sahihi wa kunywa maji baada ya kupata mlo?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
Samahani wakuu,
Naomba kuuliza ni muda upi sahihi wa kunywa maji baada ya kupata mlo? Maana watu Wana mazoea tofauti, mwingine anakula huku anapiga maji kwenye bilauri, mwingine baada ya kumaliza kula tu na kunawa anakunywa maji, mwingine anasubiri kama lisaa limoja ndio anakunywa etc. Mimi binafsi nikimaliza kula tu nakunywa maji tatizo tumbo linajaa sana na mwishowe kujikuta na wimbi la usingizi.
 
Nusu saa kabla au baada ya mlo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom