Kama inaonesha channel baadhi ujue ni shida ya server zao
Kama haioneshi kabisa hapo ndo unaweza uliza kama kuna Upgrade ya software mpya
Kwa sasa inakaribia hata wiki tatu xmaster hazionyeshi kabisa.
Pia website yao ya azsky FB haipo tangia jana.
halafu nini tofauti ya xmaster receiver na qsat receiver? kama ni tofauti upgrade software ya xmaster inaweza kupatikana ?