Upgrade Toka V5 to v6 uendelee kula Mambo matamu

Upgrade Toka V5 to v6 uendelee kula Mambo matamu

Hata cjui una activate vp mdau! Naomc ujuz

Sijatumia xman G8 lkn na assume inafana na Qsat maana wadau ndo wanavyodai

Nenda settings>preferences afu kwenye remote bofya 1512 hii ni pswd itakayofungua menu mpya ya XCAM SETUP ingia humo xcam setup utakuta avartacamHD afu bonyeza button ya red kwenye remote ku activet acc
 
Wadau kuna anayejua namna ya kuunganisha madish mawili kwenye xman g8....nashndwa namna ya kuset pale kwenye lnb coz ipo ya ku na c band
 
Hv kuna anaye2mia xman g8? Leo kama kimegoma hv! Au ni kwangu tu? 2peane taarifa wanachama wenzangu
 
Kuna mtu QSAT yake ina restart kila mda akiwa ameweka SIM CARD?
 
Back
Top Bottom