Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Sijui wale wenzangu na mm mtakuwa mmepatwa na Ajari kama mm ila inshort naona kuna v6 nimeona nishare na nyie muendelee kula Utamu wa hivi
Kitu kimoja au mtu mmoja aliyeniBORE hapa JF ni mtu aliyetaka niuzia Free Software ambayo IKS Team wanatoa Bure kwa wateja wao yeye anataka kuniuzia eti 20,000/- kisa sijanunua sijui products kutoka kwake
Anywayz ilini BORE sana and above all anatangaza Free hapa JF afu anataka kutuuzia ss JF members kitu ambacho ni HAKI yangu kupata na hakiuzwi kusema nichakufanyia biashara
Ndugu zangu wana JF tuwe na moyo wa kusaidiana na maeneo ya kufanya biashara tufanye kweli sasa mtu anakuuzia software ya bure yaani just assume mtu anakuuzia e.g Mozilla Firefox kwa 20,000/- na wewe unajua Mozilaa ni Free ware utajisikia je kweli yaani mm kuna mtu kaniboa humu ila PEACE AND LOVE sinaga kinyongo na mtu na namshukuru mwana JF mmoja alini PM na kunipa hiyo Software ya XMAN G8 bure kabisa shukrani kwake
Kwa kuwa nimeona wengi wanauziwa vitu ambavyo ni HAKI YAO na mm leo hii nimeanza kujitoa muanga na nimewaletee QSAT NEW software Bure kabisa ni wewe na Internet yako ya kudownload
Nimeona na mm nijikite humu ili niwasaidie wale wanaumizwa maana NGUVU NINAZO UWEZO NINAO
Soma Hii Update kutoka team za INternet key sharing
Basi kama QSAT yako haioneshe ususani ss wenye zile avartacam code 54*** au 55*** au 56*** basi endeleeni na hii UPGRADE muendelee kufaidi UTAMU
QSAT VERSION 6
kama ujui ku-upgrade angalia menyu yako kwenye remote mpaka uje kwenye hii picha

Here to inform you guys that Engineers as completed job on QSAT Server, All decoder should start to connect asap. all effort made to connect and change decoder active code automatically was not successful due to internet firewall of some arie.
We here by advice you guys to ungrade decoder to V6, Version6 enable you reconnect to server.
we are always here to give you guyS latest sw and best info on IKS WORLD, Please be inform that no iks will give best service like qsat we hope you all understand with us, now as we jump out of hadtime to goodtime kindly enjoy your decoder as it come back alive hehe.
Do not listen to people saying fake words about qsat ? we are same manulfacturer of all iks system product and server but our Engineers designed qsat server to be the best out their. it is normal to face this hard time at start becuase it make older days better.
ATTENTION: Azsky user. We have released Azfox s3s HD WiFi supported decoder for our Azsky G1 super, Engineer designed Azfox s3s to work with G1
super for stable service, security and to enable user load different link account.
G1 super with is own design HD WiFi supported decoder Azfox s3s will not only connect you smoothly to our server but also increase the
numbers of tv channels when next you renew your account (after 6months use).
We here advice you to use your G1 super with this decoder to avoid loops because soon engineers will add CAS for other paytv including ZAPTV.
Basi kama QSAT yako haioneshe ususani ss wenye zile avartacam code 54*** au 55*** au 56*** basi endeleeni na hii UPGRADE muendelee kufaidi UTAMU
QSAT VERSION 6
kama ujui ku-upgrade angalia menyu yako kwenye remote mpaka uje kwenye hii picha
THESE SOFTWARES ARE FREE AND NOT FOR SALE BEWARE OF SCAMMERS TRYING TO ENTER YOUR POCKETS