Upepo wa Kisiasa Wageuka; CCM Juu, CHADEMA Hakieleweki

Mkuu MAFILILI (kikwetu MAVI) Hongera asbh umeshajihakikishia Walau Kikombe cha Chai kutoka Lumumba. Ngoja Ritz naye aje achombeze kama kawaida yake naye akapate thawabu yake
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MAFILILI (kikwetu MAVI) Hongera asbh umeshajihakikishia Walau Kikombe cha Chai kutoka Lumumba. Ngoja Ritz naye aje achombeze kama kawaida yake naye akapate thawabu yake

Pokea ukweli ukaofanyie kazi; jahazi la CDM lipo mashakani abiria toeni maji msije kuzama
 
Mie ni mfuatiliaji wa harakati za kisiasa nchini Tanzania, pia mkereketwa wa vyama vya upinzani, mwanzoni nilikipenda CHADEMA;

Hatahivyo siku hizi sina mapenzi kwa CHADEMA kwa vile:

1. Siasa za upendeleo
2. Siasa za Ukanda na Ujimbo
3. Upendeleo ndani ya chama
4. Matumizi mabaya ya ruzuku
5. Kuburuzwa na wafadhili
6. Kitengo cha ustawi wa kanisa

Hapo nakuunga mkono mkuu, waratibu wakuu wa kitengo cha kanisa ni Halima Mdee, Zuberi Zitto Kabwe na Said Arfi. You are right by 100%
 
Hapo nakuunga mkono mkuu, waratibu wakuu wa kitengo cha kanisa ni Halima Mdee, Zuberi Zitto Kabwe na Said Arfi. You are right by 100%

Maji ya mto hayapunguzi chumvi katika bahari
 
Chadema hakuna kitu juzi Mwanza kwenye M4C wamepata milioni 3 Mwanza nzima.
 
CCM iko juu ya nini sasa? Sheria? Upinzani? Na je kwa kauli hii ina maana mnakubali kuwa mlikuwa chini sio? Tatizo la wapenzi wa CCM humu JF ni kutojipanga vizuri kihoja
 
slaa ndiye kinara wakupoteza umaarufu wa chama .amekuwa mchochezi wa migogoro ndani ta chama mf mwanza na geita alikosababisha mpasuko mkubwa sana kichama.
amekuwa mpika na mpokea majungu badala yakufanya kazi yake yakiutendaji.
kila kukicha anaongeza uhasama kati yake na vijana wa chadema.
ndiye kinara wa mpasuko kawe ili anayedaiwa kuwa mchumba wake japo amezaa naye tayari ndio agombee kawe 2015 lakini sisi wana kawe tushamshtukia huyo mzee na mpango wake na tunamshauri huyo mchumba wake aendelee na kazi yake yakuchua wabunge kule dodoma alikompatiaga slaa maana mdee sio saizi yake.
tunamwamini na bado tunamwitaji.
slaa ndio kinara wa ufujaji ruzuku ya chama ukiondoa mshahara wa ml 7 anaojilipa kwa mwezi amekuwa na katabia ka udokozi wa ruzuku na ndio maana komu anamdai ml 140 alizojichotea kama zake.
huyu mzee ni janga la taifa tumuogope zaidi ya ukoma.
 
ni kweli cdm ni janga je hawa waliokula nchi hii kwa miaka 50 tuwaiteje? hawana jina linalowafaa hakika hawa ni wabaya zaidi ya cdm. mi nami nina kadi ya ccm nilipewa na kiongozi mkubwa serikalini inaitwa special kadi kutoka ktk special tawi la chuo kikuu lakini sioni faida ya kuwa nayo. Tunataka majibu sahihi ya matatizo ya nchi yetu na mstakabari wa nchi hii bila kujali itikadi zetu. tunahitaji mtu atakaejua matatizo yetu ya umaskini yanatokana na nini, mtu anaefahamu hali ngumu ya maisha ya watanzania mtu atakaeto haki sawa kwa watanzania bila kuja hali rangi dini wala kabila mtu atakaye walipa wafanyakazi wote sawa bila kujali aina ya kazi kwa vigezo sawa mtu ambae anajua kuwa Tanzania ni nchi ya wakulima wafanyakza na wafanyabiashara halali mtu anaejua kuwa ikulu si mahali pa kukimbilia. Si porojo za mara chama hiki janga wala hiki vile tumechoshwa na ubabaishaji wa vyama ni kueneza chuki na uongo. tunataka maendeleo tu na si vinginevyo tutapigia kura mtu na si chama kama mtu bora yupo cdm tutampa kura kama yupo ccm tutampa kura.
 
CCM nacho chama cha siasa au cha mauaji, ujambazi, unyanga'nyi, umbea, udini, ukabila, uchawi, utesaji??!! sana sana kwa sasa ni kama mgonjwa aliye mahututi. Refer: JK wenu alisema waziwazi kuwa msitegemee polisi- CCM iwatetee tena. Bila CCM - Polisi hakuna hiki chama she''tani katika nchi hii. Hata hivyo huo upepo umewageukia ninyi wachumia tumbo.
 
Hapo nakuunga mkono mkuu, waratibu wakuu wa kitengo cha kanisa ni Halima Mdee, Zuberi Zitto Kabwe na Said Arfi. You are right by 100%
ficha ujinga wako mbele ya werevu kwakukaa kimya.
hao ndio makamanda pekee wa chadema tunaowategemea.
 
Mie nilikuwa mfuasi mzuri wakati chama kinaanzishwa, lakini baada ya uongozi kushikwa na DJ mambo yamekuwa ndivyo sivyo; Padri nae amezidi kulikoroga kwa kujipangia posho kubwa, Tshs, 12,000,000/= kwa mwezi badala ya kugharimia shughuli za chama matawini. Pia Padri kaonyesha upendeleo wa wazi kwa kumpa tenda mchumba wake bila ya ushindani. OGOPA CHADEMA, ni hatari kuliko HIV

Watanzania bana, tunadhani kutumia udini kujaji mtu fulani ndiyo itatusaidia, wakati Slaa akiwa CCM hakuitwa padre, leo yuko CHADEMA tunamwita Padre. Kumbuka slaa anapambana kwa ajili ya kizazi kijacho bila kujali dini, kabila wala rangi. We rudisha juhudi zake nyuma huku ukiwaneemesha jamaa wa CCM, leo tu katika Star tv Zitto anasema wamegundua pesa iliyoko Uswis ni mara kumi na ya pesa iliyozaniwa mwanzoni, ni 80% ya deni la nchi (yaani trioni 19) then bado wewe unarudisha nyuma juhudi za watu, haya bwana, the time will tell
 
Chadema hakuna kitu juzi Mwanza kwenye M4C wamepata milioni 3 Mwanza nzima.

chezea kamanda matata wewe!na adam chagulani!
hahaaa ndio maana hawakurusha live kuficha aibu sasa sijui wanagawanaje hizo pesa maana lema naye alitegemea wiki hii angepaua nyumba yake.
lol
labda asubilie ule mradi aliofungua nje ya ofisi za bavicha kuuza kombat na tshirt.
halafu ukitaka kujua wachaga ni kina nani eti wamepiga stop mtu yeyote kuuza kombat na tshirt zaidi ya lema.
lol
 

Ngoja wenyewe wenye chama chao wakushukie kama mvua, kwani ukiisema CDM vibaya hata kama ni kweli wao nikubisha kubisha tu kwa hoja mfu. Kama hili liko wazi kabisa, ngoja uwasikie sasa wafuasi wake watakavyosema. Karibuni wafuasi wa CDM.
Ni lini wafuasi wa CCM wanakubali ukweli? Ukisema ujenzi nafuu unawezekana kwa kuondoa kodi kwenye vifaa vya ujenzi watasema haiwezekani, ukisema Elimu bure inawezekana watasema hiyo ni ndoto ya mchana, wakibanwa wanaanza kueneza hayohayo kwa mlango wa nyuma.

Wananchi wakiwakataa kwa kura kwenye sanduku la kura wanaweka kura za maruhani. Wananchi walikwisha wachoka CCM siku nyingi ila wanatawala kwa hila tu kwa kutumia TSS.

Katika siasa za kistaarabu nchi zingine za kidemokrasia tangu lini TSS likawa tawi la chama tawala? Kwa hapa kwetu TSS ni tawila CCM linalosaidia CCM ishinde hata kwa kuiba kura. Kama kuna chama hakikubali ukweli basi kimefundishwa na CCM. Baba mwizi si ajabu kupata mtoto mwizi.

Mlezi wa vyama ni serikali iliyoundwa na viongozi wasiokubali kushindwa ni vipi vyama vya upinzani vitakubali ukweli wakati mwanzilishi na msimamizi hakubali kushindwa? Ni wazi atajianda kutoelewa hata kama jambo linaeleweka. Kiini cha ubishi wa wapinzani ni uonevu wa watawala wala hakuna haja ya kulaumu CDM
 
Pita maeneo mengi uone watanzania walivopigika, unashabikia wabongo kupigika au unashabikia nini mi sijakuelewa!
Yaani yale mamilioni ya uswisi ccm imeyarudisha?
madini yetu yanasaidia kujenga mashule
Wanafunzi wanapata mikopo bila shida?
Zile chenji za Rada zinajenga mashule?
Madaktari wetu wanalipwa vizuri na hospitali zetu zina madawa? na mengine mengi yaliyo tasa yanavyo shamiri!!! CCM iko juu kwenye nini au we uko msikule?
 
Mie ni mfuatiliaji wa harakati za kisiasa nchini Tanzania, pia mkereketwa wa vyama vya upinzani, mwanzoni nilikipenda CHADEMA;

Hatahivyo siku hizi sina mapenzi kwa CHADEMA kwa vile:

1. Siasa za upendeleo
2. Siasa za Ukanda na Ujimbo
3. Upendeleo ndani ya chama
4. Matumizi mabaya ya ruzuku
5. Kuburuzwa na wafadhili
6. Kitengo cha ustawi wa kanisa
nakushauri uache siasa na ukalime, maana sitta aliwahi sema mwanasiasa inabidi awe na ngozi ngumu,wewe umeshindwa!!
 
Baada ya kuumbuliwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye kuwa vigogo wa Chadema wana kadi za CCM na bado wanazilipia, Dk.Slaa amekiri kuwa na kadi ya CCM na anaitunza na kuienzi kadi hiyo katika makumbusho yake kwa ajili ya historia ya wajukuu wake kwa kuwa ni mali yake.
....JE WALE WANAORUDISHA KADI KWENYE MIKUTANO YAO HAWAHITAJI KUMBUKUMBU?
Navyoelewa mie kitu kizuri ndio kinawekwa kwa ajili ya kumbukumbu nina amini Dk.Slaa ameweka kumbukumbu kwa wajukuu zake kuonyesha uzuri na ubora wa chama bora Tanzania.


Wakati huo huo Viongozi wa CHADEMA NA CUF warejea CCM.
Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Morogoro,Rajab Ally,Katibu wa chama hicho mkoa wa Morogoro,Abel Ruanda na Mwenyekiti wa CUF kata ya Mkundi,Said Athumani wamejiunga na CCM.
Viongozi hao, ambao wameeleza kuchoshwa na siasa chafu na kukosekana dira katika kuwatumikia Watanzania,wamejiunga na CCM juzi na kukabidhiwa kadi katika uwanja wa Mashujaa mjini hapa.
Viongozi hao walisema "Ndani ya upinzani tuliingia kwa bahati mbaya,ni kama vile uko barabarani unasubiri gari na linatokea unapanda lakini ukishakuwa ndani na kugundua ni mkweche inabidi ushuke usubiri lingine.Tumeshuka na tumepanda gari la ukeli CCM"
 
Back
Top Bottom