Hahahahhaaaa
View attachment 389092[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We si kidume. Subiri tumalizane hapa hapa.Utanikuta nyumbani [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Angel wewe ndio nini sasa namna hiiView attachment 394097Astaghfirullah.
View attachment 394034
sasa mama ndio fundi uzi ulimuishia au umeamua tu kunichosha!!
Yaani huyo alomsuka hizo ni dhambi zake mwenyewe.Mbavu zangu mieeee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si ndio mbunifu uliamua kufanya ubunifu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani si wangeweka hata super glue...[emoji24]
Kwakweli hiyo dhambi ulioitenda kwenye kichwa cha mwanangu ukaitubu tu, ulifikiri ni liviktoria hilo?Hahaaa!, urembo wa mnyaki na msukuma.
Creativity je? Muhimu kuja na mambo mapya atii si kila siku kutumia nyuzi nyeusi tuu, after all black goes with any color...😀
Si ndio mbunifu uliamua kufanya ubunifu
Kwakweli hiyo dhambi ulioitenda kwenye kichwa cha mwanangu ukaitubu tu, ulifikiri ni liviktoria hilo?
We haushindwi, weka na njano kabisaHahaaa, nikafikiri ni Li viktoria naweza jimwaga tu...lol!
Lakini si ubunifu jamani, tutajaribu na mwekundu.
Hiyo collabo ya mnyaki na msukuma ni noumaaaHahaaa!, urembo wa mnyaki na msukuma.
Creativity je? Muhimu kuja na mambo mapya atii si kila siku kutumia nyuzi nyeusi tuu, after all black goes with any color...😀
We haushindwi, weka na njano kabisa
Hiyo collabo ya mnyaki na msukuma ni noumaaa
uyu wa kiumeni au ukeni?View attachment 394034
sasa mama ndio fundi uzi ulimuishia au umeamua tu kunichosha!!
Hahahaaaa! Muulize Heaven Sentuyu wa kiumeni au ukeni?