Upepo umegeukia huku

Upepo umegeukia huku

IMG-20160831-WA0070.jpg
 
Ngoja kwanza nikafanye maombi ya nguvu, maana wewe 'nguvu' zako za mvuto si za kawaida 🙂
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Douta mbona hunipi updates za Birthday ya Mtoto wa Taifa?

Sare niliyomshonea mwanangu inaanza kumruka sasa.
Ba mkubwa Le baharia hajatoa updates mwenzangu, me mwenyewe nimejikuta nimeshalivaa dera langu
 
Ba mkubwa Le baharia hajatoa updates mwenzangu, me mwenyewe nimejikuta nimeshalivaa dera langu

Hafu we si umekatazwa na Benny kumsogelea Le Baharia?

Halafu eti mtoto wa Taifa ana followers wengi insta kumpita Ba Mkubwa wake, King of All Social Networks East and Central Africa.
 
Hafu we si umekatazwa na Benny kumsogelea Le Baharia?

Halafu eti mtoto wa Taifa ana followers wengi insta kumpita Ba Mkubwa wake, King of All Social Networks East and Central Africa.
Haha em sitaki kucheka mimi, king of all social networks afu followers wangapi sijui teh
 
Back
Top Bottom