Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

makongoro hasomi hotuba kama wengine walivyofanya, anaongea point tupu.

Mkuu, ni points gani anazozungumza huyu jamaa? Kama CCM wakimpitisha huyu na hatimaye akaja kua rais (najua haiwezekani, Ukawa wanachukua), basi tutakua hatuna rais. Sijaona points zozote kutoka kwake, yaani dah! shida sana. Mnaoangalia nadhani mnajionea.
 
View attachment 256722
Huyu Ndiye Judge Aisha Charles Makongoro Nyerere.
She is exactly genuine as to what your saying someone can see it from her pretty face!!
​
manuu
 
Last edited by a moderator:
Cjaona la maana sana kwa upande wa kuwa Rais, anapaswa kuwa mshauri na muonyaji wa CCM ila si Rais wa Tanzania
 
Tuombe Star TV mtafute tena muda mturusishie tena hii hotuba yake katika muda mzuri wa usiku ili Watanzania wengi waione, kusema kweli ina mengi sana ndani yake; very impressive, funny, curious and tact.

Tutawashukuru sana kwasababu ameonesha ni mwanasiasa aliyekomaa na asiye na mawaa huku akibebwa na kauli ya kudai chama kirudishwe kwa walio wengi, wakulima na wafanyakazi.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
@DSN oohhhh! Yaaaaa!!!! The coming First Lady. Full committed no maigizo.

Ikulu kweli ni mahali patakatifu. Soon heshima itarudi. Heee!!!! Kama una tabia mbaya Pita mbali na Makongoro!!! Madame hacheki na nyani when it comes to family matters and respect to the family. Anakaba Kama First Lady Michelle Obama; mpaka penalty!!!!!!!!!!! Mambo ya kwenda Ikulu umejirembesha weee!!! kumtega Presdaaa!!! MARUFUKU......

I can't wait...........

Queen Esther
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Mkuu acha mahaba,Ni points gani anazozungumza huyu jamaa?Kama ccm wakimpitisha huyu na hatimaye akaja kua Rais(najua haiwezekani,Ukawa wanachukua),basi tutakua hatuna Rais,sijaona points zozote kutoka kwake,yaani dah,shida Sana.Mnaoangalia nadhani mnajionea

Kibaka rudi monduli kwa bosi wako edo
 
Iwekwe youtube hiyo kila mara nikiwa nataka kuongea na vibaka niwe nawawekea
 
Haya Queen Esther good wishes and all the best...kasimama kweli na si masihara anaonekana Mrs straight forward hakuna za kuleta kuleta...Learned Sister .!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom