Upepo noma

Upepo noma

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
article-2333111-1A0EFD6C000005DC-482_634x895.jpg
article-0-1A0EFD08000005DC-732_634x934.jpg
article-2333111-1A0EFD19000005DC-727_634x923.jpg
article-0-1A0EDF65000005DC-352_634x799.jpg
 
Ingekuwa mvuto unafanana na tabia ya mtu huyu demu angetisha lakini lahaula haiwi hivyo!!! ukiingiza timu hapo ni kero kwa kwenda mbele yaani utaikimbia nyumba yako mwenyewe na kumuachia.
 
Kwani havai bikini huyu tabu ya nini yote hiyo?
 
Afu upepo ukiamua kukufanyia makusudi bwana. Acha tu.
 
Ile picha yake ya X ni nzuri sana na huwa simuazimishi mtu;kama unataka kuiangalia njoo home!
Kwa kweli ni nzuri

Mzushi wewe hata humpati unamchafua tu, huyo ni mke wa mtu na anajiheshimu kama mke
 
...pale PPF tower (dsm) pana upepo unao ezua hadi WIGI..
 
Mzushi wewe hata humpati unamchafua tu, huyo ni mke wa mtu na anajiheshimu kama mke

Huyu si Kim Kadarshian?Mke wa sasa wa Kanye West baada ya kumtosa yule jamaa wa BKLN basketballer?

Kama ni yy basi wewe Shine ndiyo ufute maneno yako maana nisemayo ni kweli tupu!Kacheza movie za utupu huyu!
 
Dah! Huyu mtoto kumuangaliatu nikilevi tosha, asifiwe muumba kwakazi nzuri.
 
Nimeanza kutamani
Upepo upungue ili mama wa watu asijeadhirika
 
Back
Top Bottom