Singida n jadi yake from time immemorial. nakumbuka 1977 ilikuwa mara yangu ya kwanza kukutana na upepo kama huo Mwenge schoolSingida nako si haba, upepo mkali na vumbi
Jana nilipita pale makorora lile vumbi kidogo linizoe boda boda kidogo wachotaneTanga atakufa mtu!
Uono huko kwenu mnapata? Mboga yetu maskini imeadimikaNi kweli Mkuu, niko Chumba geni hapa utadhani ni kimbunga aisee
upepo huu hakuna uono...Uono huko kwenu mnapata? Mboga yetu maskini imeadimika
Sio tanga tuuJana 24 na leo 25/7 kuna upepo mkali/mwingi sana. Mamlaka ya hali ya hewa toeni tamko la kitaalamu tujihami maana inatisha!
Umenichekeshamwendazake anarudi!.....
Aisee umeadimika sana. Niliuotea kiporo kwa jamaa yangu maeneo ya Raskazone juzi.Uono huko kwenu mnapata? Mboga yetu maskini imeadimika
Nenda baharini upigwe na bamvua ukaibukie mombasa hukoSisi wavuvi unatudhuru ila huwa hatupendi kulalamika kama ninyi.
Huu ndio msimu wa upepo kwa ukanda wa chini kidogo ya Ikweta...msimu wa kipupweJana 24 na leo 25/7 kuna upepo mkali/mwingi sana. Mamlaka ya hali ya hewa toeni tamko la kitaalamu tujihami maana inatisha!
sante kwa elimu,lkn tnateseka sana. Mbona mabaya ndiyo yanafuata msimu, mvua katu hakuna hata ile ya masika haikuwepo na vuli hitakuwepo maana huu ni mwaka wa nneHuu ndio msimu wa upepo kwa ukanda wa chini kidogo ya Ikweta...msimu wa kipupwe
siulizi samaki katu, nakula mchichaHuu upepo umefanya samaki wamepanda bei sana
sante kwa elimu,lkn tnateseka sana. Mbona mabaya ndiyo yanafuata msimu, mvua katu hakuna hata ile ya masika haikuwepo na vuli hitakuwepo maana huu ni mwaka wa nne
Usiende baharini. Upepo huu huvuama lila mwaka kwa siku 7 -8Jana 24 na leo 25/7 kuna upepo mkali/mwingi sana. Mamlaka ya hali ya hewa toeni tamko la kitaalamu tujihami maana inatisha!
Mboga safi sana hiyosiulizi samaki katu, nakula mchicha