Upepo mkali Tanga Mjini

Singida nako si haba, upepo mkali na vumbi
Singida n jadi yake from time immemorial. nakumbuka 1977 ilikuwa mara yangu ya kwanza kukutana na upepo kama huo Mwenge school
 
  • Thanks
Reactions: ram
Basi litakuwa tatizo la nchi nzima mwambao mwa ziwa tanganyika jana ulipiga upepo wa hatari leo pia japo siyo mkali kama jana
 
Jana 24 na leo 25/7 kuna upepo mkali/mwingi sana. Mamlaka ya hali ya hewa toeni tamko la kitaalamu tujihami maana inatisha!
Huu ndio msimu wa upepo kwa ukanda wa chini kidogo ya Ikweta...msimu wa kipupwe
 
Huu ndio msimu wa upepo kwa ukanda wa chini kidogo ya Ikweta...msimu wa kipupwe
sante kwa elimu,lkn tnateseka sana. Mbona mabaya ndiyo yanafuata msimu, mvua katu hakuna hata ile ya masika haikuwepo na vuli hitakuwepo maana huu ni mwaka wa nne
 
sante kwa elimu,lkn tnateseka sana. Mbona mabaya ndiyo yanafuata msimu, mvua katu hakuna hata ile ya masika haikuwepo na vuli hitakuwepo maana huu ni mwaka wa nne

Vuli itakuja baada ya miezi michache ijayo...
 
Back
Top Bottom