Upendo wa Vitendo

Upendo wa Vitendo

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Havachee mabestito

UJUMBE MUURUA KWA MARAFIKI ZANGU WOTE

Marafiki zangu Upendo wa kweli ni ule ambao mtu huonesha kwa vitendo
na sio kuwa maporojoporojo mengi mndomoni mwake, Upendo wakweli
huonekana pindi mwenzio anafikwa na jambo la kuhuzunisha, kudhoofu
au pindi yuko kwenye matatizo magumu (majaribu) ambayo anashindwa
kujinasua toka hapo

Wakati mwingiine hanakosa wa kumweleza matatizo hayo na kumtoa katika
stress hizo anabaki ananyong'onyea wala hana sehemu ya kupelekea jambo
anakuwa mtu ambaye amekosa matumaini yoyote na hana mwelekeo wowote

Sisi binadamu tumejifunza kuwa karibu na watu wa aina hiyo na ukiona mwenzio
yuko katika hali ni budi uwe naye na kumpa faraja kwa kumwambia hakuna jambo
gumu na zito mbele za Mungu kwani yote yanawezekanam,
Nami nimeshikwa sana na jambo hili ndo maana nimeona leo niwatakie
Pasaka njema yenye upendo, furaha, amani na tumaini pindi tunapokumbuka
kifo na ufufuo wa Bwana wetu Yesu Kristo

Nawatakia pasaka njema na yenye upendo tufurahiaane, tupendane na
tuwe pamoja kwani sisi tu marafiki wamoja.

pokeeni kagift kadogo ka easter 2014

oo.jpg


op.jpg


 
Back
Top Bottom