Naomba kupata six park ya vile vitu vyangu Weekend hii Swahiba.πSwahiba we chagua unatakaje,zizidi kujaa telee
Ndio dadiiπ€Έπ½ββοΈHela kwangu ni nyingi... Au nikutumie milioni 1 ya pipi?
hahahahahaha,Swahiba hili unajua kabisa ni jukumu langu la msingi kutekeleza, huu mwezi kdg ulikua tytNaomba kupata six park ya vile vitu vyangu Weekend hii Swahiba.π
Ndugu yako mwezi wa tisa umejua kunitandika...Bora umeisha tu
Duh..... ni vyema kuwa wawili mkuuMe Sidhani kama yupo...nalia Mwenyewe
Umenena vyema mkuu1 Wakorintho 13:7: "[Upendo] huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote." Neno kustahimili maana yake ni kubeba uzito au maumivu yanayotokana na yule unayempenda bila kuacha kumpenda
Wenye upendo huu kwa sasa tumebaki wachache sana1 Wakorintho 13:7: "[Upendo] huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote." Neno kustahimili maana yake ni kubeba uzito au maumivu yanayotokana na yule unayempenda bila kuacha kumpenda
Very trueWenye upendo huu kwa sasa tumebaki wachache sana
ππWenye upendo huu kwa sasa tumebaki wachache sana
Hakika mkuuπ₯π₯π₯Umenena vyema mkuu
Wewe unapoelekea! NakuhurumiaJoanah Heshima kwako π βοΈ
Fanya hivyo Swahiba wangu....Unaelewa vyema....hahahahahaha,Swahiba hili unajua kabisa ni jukumu langu la msingi kutekeleza, huu mwezi kdg ulikua tyt
Shem bae niko balehe ya pili, najaribu kushika brake lakini nashindwa.Mzee unaenda resi wewe.π
Sasa hii ni nini aki?