Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!

Wale lumumba team hawajafurahia walichosikia. Walitegemea kusikia anaondoka cdm na kwenda ccm kuunga mkono juhudi za rais.
 
Kumekua na hali ya Stofahamu ndani ya Chadema ikiwemo kutokuaminiani Baada yakujiuzulu kwa Dr.Godwin Moleli aliyekua Mbunge wa Siha haijulikani nani atafuata,Dr.Mollel amerejea kwnye Chama chake cha Zamani alikuja kwa Mafuriko ya Lowasa mda huo huo akaaminiwa nakuteuliwa Kua mgombea kisha akashinda ipo haja yakua na Utaratibu maalum kwa watu wanaohama vyama vyao wakati wa Uchaguzi,Je nani atafuatia baada ya Dr.Mollel hii ndio swali linalobaki bila majibu ya moja kwa moja
Waeleze wenye vyama vyao angalau mteuliwa awe amekaa kwenye chama kwa muda usiopungua miaka miwili. Hii ndio namna ya kuwaenzi "loyal members" badala ya kuona wakuja wana sifa kuzidi walioko ndani
 
WELL DONE PENEZA...hii ndio namna bora ya kumuunga mkono rais katika harakati za kupunguza matumizi ya hovyo.Kujiuzulu ubunge ni maamuzi ya mtu binafsi lakini tunaporudia uchaguzi ni kulibebesha Taifa gharama zisizo za lazima.Nawashauri wabunge wa upinzani wamuunge mkono rais hata wakiwa kwenye vyama vyao.
 
Kabisa..na hii mibunge yote inayohama vyama isiruhusiwe kugombea tena.....
 
Oh yeah?

Ndicho alichotangaza hicho?
Hiyo Press ilibidi amjibu Lema maana ndiye amekuwa akieneza habari za wao na Mnyika kuhama chama lakini Lema ana aminika zaidi na Mbowe na yuko karibu nao.....
Lema ni tatizo kubwa ndani ya chadema amekuwa mbea
 
ec9bd174d745a48d32077fe3aa19f350.jpg

Huwa nikisomaga coment zako zinanichekshaga sana
 
Hiyo Press ilibidi amjibu Lema maana ndiye amekuwa akieneza habari za wao na Mnyika kuhama chama lakini Lema ana aminika zaidi na Mbowe na yuko karibu nao.....
Lema ni tatizo kubwa ndani ya chadema amekuwa mbea
Wewe kijani umekuwa msemaji wa chadema??
 
Anaongea madini sana huyu mtoto.

Anazungumzia jinsi wanaojinasibu kwamba wanapambana na ufisadi wasivyotaka mafisadi watajwe.
 
Ni kiwa mkweli na mwaminifu kwa nafsi yangu naona Mzee Sumaye amejitolea kwa moyo wake wote. Naiona " commitment" yake haina mashaka. Ameteswa na serikali kwa ajili yetu kadri anavyoendelea kuwepo ilimradi awe msikilizaji na mshauri zaidi kuliko kuwa mwongozaji na mtoa maelekezo. Mzee Lowasa akitaka kwenda wala sitalalamika nitasema nendeni kwa amani kwa maana simuoni kama mpambanaji lakini akiamua kuulea upinzani na hasa CHADEMA itakuwa vizuri. Kwangu mimi naona amepata zaidi kutoka chadema kuliko tulivyopata kutoka kwake. Nadhani bado anao baadhi ya wafuasi walioko serikalini na CCM ambao wanaweza walao kuvujisha habari fulani fulani kutoka serikalini ambazo zinaweza kuwa za msaada kwetu.
Una uhakika Sumaye yupo ki kweli kweli CHADEMA au mazingaonmbwe tu mkuu?
 
Back
Top Bottom