Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!

Huyu dada ni hazina ya chadema kwa siku zijazo. sioni kama kuna tofauti kubwa ya kiuanaharakati aliyonayo tofauti na kina bulaya na mdee. please bawacha kaeni naye vizuri ni miongoni mwa hazina za ukombozi wa nchi hii
 
Kumekua na hali ya Stofahamu ndani ya Chadema ikiwemo kutokuaminiani Baada yakujiuzulu kwa Dr.Godwin Moleli aliyekua Mbunge wa Siha haijulikani nani atafuata,Dr.Mollel amerejea kwnye Chama chake cha Zamani alikuja kwa Mafuriko ya Lowasa mda huo huo akaaminiwa nakuteuliwa Kua mgombea kisha akashinda ipo haja yakua na Utaratibu maalum kwa watu wanaohama vyama vyao wakati wa Uchaguzi,Je nani atafuatia baada ya Dr.Mollel hii ndio swali linalobaki bila majibu ya moja kwa moja
Labda dada Mange anajua
 
Kutoka upinzani kwenda CCM kwa kununuliwa siku yamekuwa maamuzi magumu?Hivi viti maalumu vinatakiwa kufutwa kama ilivyopendekezwa kwenye katiba mpya.
Upendo Peneza yule ana akili sana sidhani kama anaweza kujiunga CCM.
Wee ngoja uone nae anatimkia CCM
 
CHADEMA na UKAWA kwa ujumla ikae kwa ujumla na wabunge wao wawaulize wabunge hao kua wangapi wanataka kuondoka kwenda CCM kuungana na mh Rais kwaajiri ya kuunga mkono juhudi za Rais( wao wanavyosema)wawaruhusu waende tuendelee na mambo mengine.
bro tatizo ni moja...ndani ya chadema hamna uwazi katika matumizi na mapato ya chamna Mbowe a.k.a Mugabe yeye kafanya chama kama SACCOS
 
haya mambo ndio alitakiwa kuyazungumza Naibu Katibu Mkuu Mhe.John Mnyika kuondoa minong'ono isiyo ya lazima na kukata mzizi wa fitina. Press conference ya Upendo Peneza ingekuwa na effect kama angekuwa anahama au angekuwa moja ya viongozi wakuu ndani ya chama tamko lake binafsi halina effect angelitoa tuu facebook au twitter angesikika.
 
Point noted: Kujenga mifumo imara itakayokomesha kabisa Ufisadi, itakayolinda demokrasia katika nchi yetu.
Ndugu yangu inaonekana huwajui vzr ccm hakuna mtu anaehongwa hiyo Hela
hao wanauziwa maneno tu
ha ha ha, mali kauli siyo - lakini advance si anakuwa kashavuta? shinda ni ile ya kumalizia unaweza dai hadi ukazeeka!!
 
Kutoka upinzani kwenda CCM kwa kununuliwa siku yamekuwa maamuzi magumu?Hivi viti maalumu vinatakiwa kufutwa kama ilivyopendekezwa kwenye katiba mpya.
Upendo Peneza yule ana akili sana sidhani kama anaweza kujiunga CCM.
Naona kamanda umeedit post yako hangera...
 
Back
Top Bottom