Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa

View attachment 656121

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Geita, Upendo Furaha Peneza (Chadema), ametaja sifa za mwanaume wa aina gani anayemhitaji maishani mwake amuoe,

Upendo ambaye kwa muonekano ni mrembo alisema kwa sasa hana mpenzi, mchumba wala mwanaume yeyote.
Alisema katika maisha yake anapenda sana mwanaume mpambanaji na mwenye kujituma katika kusaka mafanikio maishani bila kujali rangi, kabila wala dini.

Mbunge huyo kijana ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita alitawala vyombo mbalimbali vya habari, ikiwemo mitandao ya kijamii kufuatia mkutano wake na waandishi wa habari akiponda vibaya kitendo cha wanasiasa kuhama vyama, hakutaka kuingia kwa undani sana katika maisha yake ya kimapenzi ingawa alikiri kuwahi kupitia maisha ya uhusiano kama binadamu mtimilifu na kwamba kwa sasa anamuomba sana Mungu ampe mwanaume wa haja yake ili kutimiza furaha maishani mwake.

“Sina chochote kwa maana ya mpenzi, mchumba au mwanaume wa aina yeyote na mara nyingi sana huwa sipendi kuzungumzia maisha yangu binafsi, lakini kikubwa napenda sana mwanaume mwenye kujituma kutafuta mafanikio na kwa kweli namuomba sana Mungu atimize haja ya moyo wangu ili niweze kufurahia maisha, unajua ukiwa na mwanaume mchakarikaji na wewe unahamasika kupambana zaidi na maisha,” alisema Peneza.

My Take
Ninazo sifa za kukuoa mama,mkisikia huyu kaolewa mjue ndio mimi maana kila nikitazama picha yako na yenyewe inanitazama

Naomba nikiri kuwa Mh. Mbunge mbali na kuwa smart kichwani, Mungu amemjalia hata katika maswala mengine, ni mzuri sana kwa sura pia!
 
Duh! Acha tuu! Binti amenikoga roho yangu.
 
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
 
Hayakuhusu,aliyekwambia wana njaa kama wewe nani???
 
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
We jamaa sishangai kwanini una tuhuma ya kuwa shoga

Sasa unawapangia watu maamuzi yao?

Si mlisema upinzani unachelewesha maendeleo?

Acheni unafiki
 
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
Hatutaki watu wanaochelewesha maendeleo. Nkasi laskazini wamejifanya wajanja, baada ya miezi 6 Mji wao wa Namanyere utazidiwa na Inyonga Mlele.
 
View attachment 656121

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Geita, Upendo Furaha Peneza (Chadema), ametaja sifa za mwanaume wa aina gani anayemhitaji maishani mwake amuoe,

Upendo ambaye kwa muonekano ni mrembo alisema kwa sasa hana mpenzi, mchumba wala mwanaume yeyote.
Alisema katika maisha yake anapenda sana mwanaume mpambanaji na mwenye kujituma katika kusaka mafanikio maishani bila kujali rangi, kabila wala dini.

Mbunge huyo kijana ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita alitawala vyombo mbalimbali vya habari, ikiwemo mitandao ya kijamii kufuatia mkutano wake na waandishi wa habari akiponda vibaya kitendo cha wanasiasa kuhama vyama, hakutaka kuingia kwa undani sana katika maisha yake ya kimapenzi ingawa alikiri kuwahi kupitia maisha ya uhusiano kama binadamu mtimilifu na kwamba kwa sasa anamuomba sana Mungu ampe mwanaume wa haja yake ili kutimiza furaha maishani mwake.

“Sina chochote kwa maana ya mpenzi, mchumba au mwanaume wa aina yeyote na mara nyingi sana huwa sipendi kuzungumzia maisha yangu binafsi, lakini kikubwa napenda sana mwanaume mwenye kujituma kutafuta mafanikio na kwa kweli namuomba sana Mungu atimize haja ya moyo wangu ili niweze kufurahia maisha, unajua ukiwa na mwanaume mchakarikaji na wewe unahamasika kupambana zaidi na maisha,” alisema Peneza.

My Take
Ninazo sifa za kukuoa mama,mkisikia huyu kaolewa mjue ndio mimi maana kila nikitazama picha yako na yenyewe inanitazama
OKW BOBAN SUNZU Pascal Mayalla haya kazi kwenu. Wanaume waliomtesa n Salary Slip na mwamba tuvushe
 
Ni kijana binti mdogo mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja za kitaifa na kimataifa,huwezi kumsikiliza usimpongeze vinginevyo uwe na wivu uliopitiliza mno.
Nawasilisha kama kuna mwenye kumfahamu zaidi amwagike.
Mkuu sweya lugendo, naunga mkono hoja, CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?, nimependekeza huyu binti asimamishwe na Chadema, EALA!. Mnaonaje?
Kwa wasio mfahamu, kumfahamu zaidi na anasimamia nini, karibuni mitaa hii
Ref: Mnaweza kumsoma Upendo Furaha Peneza humu
  1. Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
  2. Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
  3. Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
  4. Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
  5. Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
  6. Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
  7. Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
  8. Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
  9. Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
  10. Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
  11. Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
  12. Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
  13. Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!
P
 
View attachment 656121

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Geita, Upendo Furaha Peneza (Chadema), ametaja sifa za mwanaume wa aina gani anayemhitaji maishani mwake amuoe,

Upendo ambaye kwa muonekano ni mrembo alisema kwa sasa hana mpenzi, mchumba wala mwanaume yeyote.
Alisema katika maisha yake anapenda sana mwanaume mpambanaji na mwenye kujituma katika kusaka mafanikio maishani bila kujali rangi, kabila wala dini.

Mbunge huyo kijana ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita alitawala vyombo mbalimbali vya habari, ikiwemo mitandao ya kijamii kufuatia mkutano wake na waandishi wa habari akiponda vibaya kitendo cha wanasiasa kuhama vyama, hakutaka kuingia kwa undani sana katika maisha yake ya kimapenzi ingawa alikiri kuwahi kupitia maisha ya uhusiano kama binadamu mtimilifu na kwamba kwa sasa anamuomba sana Mungu ampe mwanaume wa haja yake ili kutimiza furaha maishani mwake.

“Sina chochote kwa maana ya mpenzi, mchumba au mwanaume wa aina yeyote na mara nyingi sana huwa sipendi kuzungumzia maisha yangu binafsi, lakini kikubwa napenda sana mwanaume mwenye kujituma kutafuta mafanikio na kwa kweli namuomba sana Mungu atimize haja ya moyo wangu ili niweze kufurahia maisha, unajua ukiwa na mwanaume mchakarikaji na wewe unahamasika kupambana zaidi na maisha,” alisema Peneza.

My Take
Ninazo sifa za kukuoa mama,mkisikia huyu kaolewa mjue ndio mimi maana kila nikitazama picha yako na yenyewe inanitazama
kwahiyo tuamini kwamba hapo alipo ni sealed, pia hakuan sponsor, na ............. pia hajawahi kupita? hongera zake.
 
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
Da kwa maslah mapana ya nchi ulitoa ushauri huu wakapotezea yaliyotokea tunajua,leoUbunge wa africa mashariki umewakumbusha tena.usichoke ni chama cja wasomi wasoojua fursa .
 
Huyu angenifaa kweli aise

Upendo njoo hapa kwa baharia

Ova

Kabisa mabaharia hata asipopata ubunge lazima binti atembelee vX na RR baada ya hapo anatulia kwenye mjengo huku anasimamia harakati za baharia anaachana na stress za siasa
 
Back
Top Bottom