Basi ukipata asie na wivu usilalamike maana utaona kama hakupendi
Uyo kazidisha tu ila ndo anakupenda kweli
Kufanyaje kwani?
Kweli kabisa...Ukizubaa tu watu Wana kuachia maumivu ya moyo na kukufilisi juu
Acha ugomviCc,:moneypeny
Hahaahhahaha.Hapana. ..mkuu -- na endelea kustaajabu jinsi ulivyo barikiwa
SawaaaNitakuwa nimepata cha kuwa hadithia kuzimu
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa nini mkuu?Huko kitandani huwaga mnakuwa Maradona?
Hivyo naezaa
Na wewe kuna mtu umepewa kazi ya kumpenda yeye tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila kuna ukweli aisee watu wengine kuwatoa akilini na moyoni ni ngumu sana.
@hearly ajaribu eti?[emoji23][emoji23] Naona anataka anasie then ashindwe kuchomoka...Ha hahah hahahahahha ha hamna ni vile kila shetani na mbuyu wake. Ukimfukuza hawezi kuhama maana hana mbuyu mwingine wa kuhamia.
Tena manesi wabongo walivyo kuwa na midomo michafu kama vyoo vya stendiDaah! Ni wachache sana wenye kuweza hiyo kitu japo Kitanzania Tanzania Hospitali zetu nazo ni changamoto sababu chukulia tu ile saa ya kuona wagonjwa ikiisha unavyotolewa nduki sasa hii ya kuanza kuonyesha upendo unadhani itawezekana Mkuu.
Kwanza Manesi hawashindwi kusema unamkera mgonjwa na wakakwambia mwache mgonjwa anahitaji kupumzika. [emoji3][emoji3]
Watu wa mapenzi..Wanasema wameletwa duniani kwa kazi moja "kukupenda wewe tuu" hata umuache anang'ang'ana eti hawezi "kumkosea Mungu " kwa kukubali kuachana na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]