Tatizo wa kukupa upendo wa hvo sijui walishakufaga
Nilimwambia lakini alikataa kukubali.
Akini hata kama nisingemwambia mbona matendo tuu yanatosha kumfanya mtu afuate ushauri wa mtoa mada. Ni angejiongeza tu.
Ntaenda exotic tanzania[emoji28]Hahaha kwahiyo umenuna ---Basi sikuoi
Kwann wanapungua etiiiBado wapo wenye upendo wa kweli kutoka mioyoni mwao ila wanazidi kupungua.
Hapo wameshaficha hati za nyumba na kadi za magari[emoji23][emoji23][emoji23].Ewaaaa wanaona kama anachelewa
Eeh Ataenda wapi zaidi ya kung'ang'ana.Achana kabisa na Mvuto wa olive oil ---yaani mtu anaambiwa kuwa sikutaki lakini bado tu ---- kumbe jana sikuwa nimekosea kiruuuuu
Kumjibu mtu kwa Matendo inaumiza zaidi kuliko maneno maana mtu anakua hana uhakika kama unampenda au la. Mwingine anaweza kuwa anawaza kua unampima tu ili uone kama anakupenda... kwahiyo anavumilia akiwa na matumaini labda siku moja utampenda.... mapenzi haya sio mazuri kabisa. Yanafanya mtu anakua zuzu sio zuzu choko sio choko yaani basi tu ilimradi moyo wake uumizwe akaribie kufa kwa presha ndio mtu anastuka kua hapendwiNilimwambia lakini alikataa kukubali.
Akini hata kama nisingemwambia mbona matendo tuu yanatosha kumfanya mtu afuate ushauri wa mtoa mada. Ni angejiongeza tu.
Hii bi sawa na kucheza biko mkuuKwa kweli ni zaidi ya betting
Unakwama wapi mbibi....Tatizo wa kukupa upendo wa hvo sijui walishakufaga
Jf mbabuUnakwama wapi mbibi....