ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,295
- 19,920
Una weza dhani upendo ni pesa lakini utagundua ya kwamba unajidanganya ,hasa pale utakapo gundua ya kuwa mapenzi wako unaye mpa pesa na vitu vyote vya thamani anavyo taka, amekusariti tena analiwa na kamtu ambako hata kula ya kenyewe ni shida.
Unaweza sema upendo ni kumridhisha mpenzi wako kitandani lakini utagundua kuwa unajidanganya hasa pale itakapo kuwa una kaa juu ya kifua chake saa zima na kumfikisha kileleni, lakini ukagundua kuwa ana kusaliti tena mshikaji anaye mla hana maajabu yeyote kitandani hata kimoja cha dakika 5 ni cha kuhangaikia.
Unaweza kudhani kumpenda mtu ni kutokana na uzuri wake lakini utagundua ya kwamba unajidanganya hasa pale utakapo zama na kuoza kwa kibinti cha kawaida sana mpaka pisi zote mitaani ukaziona miyeyosho tu.
Dah ila upendo huu.