Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,162
- 6,307
We pigaa tuu.😂
😂afanye mambo mengine aiseeHahaha mkuu pole sana ndio mapenzi yalivyo huwa hayaeleweki ukiona mapenzi yanakusumbua achana nayo tu
[emoji23][emoji23] Eenh bwana hata kulima alime tu sio kila mtu ameumbwa kuwa na mahusiano[emoji23]afanye mambo mengine aisee
Unaeleza kuhusu UPENDO au MAPENZI?Una weza dhani upendo ni pesa lakini utagundua ya kwamba unajidanganya ,hasa pale utakapo gundua ya kuwa mapenzi wako unaye mpa pesa na vitu vyote vya thamani anavyo taka, amekusariti tena analiwa na kamtu ambako hata kula ya kenyewe ni shida.
Unaweza sema upendo ni kumridhisha mpenzi wako kitandani lakini utagundua kuwa unajidanganya hasa pale itakapo kuwa una kaa juu ya kifua chake saa zima na kumfikisha kileleni, lakini ukagundua kuwa ana kusaliti tena mshikaji anaye mla hana maajabu yeyote kitandani hata kimoja cha dakika 5 ni cha kuhangaikia.
Unaweza kudhani kumpenda mtu ni kutokana na uzuri wake lakini utagundua ya kwamba unajidanganya hasa pale utakapo zama na kuoza kwa kibinti cha kawaida sana mpaka pisi zote mitaani ukaziona miyeyosho tu.
Dah ila upendo huu.
Inasikitisha sana,kama Mimi naona mambo ya mahusiano yamenishinda...bora niendelee kulima tu😂😂🙅[emoji23][emoji23] Eenh bwana hata kulima alime tu sio kila mtu ameumbwa kuwa na mahusiano
Ewaaah umeona babe umeona kabisa mahusiano hupatani nayo ukiforce sana unabaki kuumia kila siku bora uwaachie tu wanayopatana nayo tuje jf huku tufurahi tuwashauri kama hivi wanaolia lia [emoji1787]Inasikitisha sana,kama Mimi naona mambo ya mahusiano yamenishinda...bora niendelee kulima tu[emoji23][emoji23][emoji135]
Ndiwooooo [emoji2]We mzee bhana[emoji16]
Eti wapenzi hawaeleweki[emoji1787]
Navimba bichwa kwa kupendwa nawe shangazi Shunie [emoji1]Sijutii kukupenda ujue we mzee [emoji847] vijana waje kuchukua madini hayo
Sasa tufanyaje?Ndiwooooo [emoji2]
Tupendane pasipo kuwekeana masharti kama waganga wa kienyeji [emoji3]Sasa tufanyaje?
Kwa kweliEwaaah umeona babe umeona kabisa mahusiano hupatani nayo ukiforce sana unabaki kuumia kila siku bora uwaachie tu wanayopatana nayo tuje jf huku tufurahi tuwashauri kama hivi wanaolia lia [emoji1787]
kuna kitu anaficha
Nini cha kufanya sasa ili niujue upendo wa kweli?Una weza dhani upendo ni pesa lakini utagundua ya kwamba unajidanganya ,hasa pale utakapo gundua ya kuwa mapenzi wako unaye mpa pesa na vitu vyote vya thamani anavyo taka, amekusariti tena analiwa na kamtu ambako hata kula ya kenyewe ni shida.