Upendo Msuya wa Channel Ten

Upendo Msuya wa Channel Ten

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,626
mtangazaji wa Tv kituo cha channel ten, nampenda sana huyu dada, akisoma taarifa ya habari hasa za uchumi na biashara jinsi anavo simama na uongeaji wake ananikosha sana, huyu mdada ameolewa? mwenye kumfahamu anijuze, pamoja na contact, please!!!
 
Endelea kuangalia channel ten utakuwa unamwona,namba za nini au unataka awe mchepuko wako mkuu?
 
mtangazaji wa Tv kituo cha channel ten, nampenda sana huyu dada, akisoma taarifa ya habari hasa za uchumi na biashara jinsi anavo simama na uongeaji wake ananikosha sana, huyu mdada ameolewa? mwenye kumfahamu anijuze, pamoja na contact, please!!!

Weka picha
 
Hivi hajawahi kutangaza ile tv inayotoa airtime kwa magamba meant tbccm.?
 
Umenikumbusha tabia ya watoto kutamani pipi ikiwa ndani ya maganda yake.
 
mtangazaji wa tv kituo cha channel ten, nampenda sana huyu dada, akisoma taarifa ya habari hasa za uchumi na biashara jinsi anavo simama na uongeaji wake ananikosha sana, huyu mdada ameolewa? Mwenye kumfahamu anijuze, pamoja na contact, please!!!

kweli kupenda siyo ndoto,pale umependa nini?hiyo taarifa ya habari anarudiarudia kama vile division v,pole sana kaka.
 
mtangazaji wa Tv kituo cha channel ten, nampenda sana huyu dada, akisoma taarifa ya habari hasa za uchumi na biashara jinsi anavo simama na uongeaji wake ananikosha sana, huyu mdada ameolewa? mwenye kumfahamu anijuze, pamoja na contact, please!!!
weka picha mkuu!
 
Please UPENDO, kama upo humu ni PM tumalizane kimya kimya
 
Upendooooo njoo huku kuna mtu mmoja anabata tabu juu yako.
 
wewe ndio unamsalandia mke wangu unapajua misitu ya mabwepande?

Mkuu basi yaishe, kama hicho chombo ni chako basi hongera, lakini nampenda sana huyu mdada, mkitengana ni PM faster
 
UPENDO MSUYA wa Channel Ten haunisikii???
 
Haaahaahaa🙂 Mkuu Tea Bag unataka mdada wa kipare akukunywe kama chai????
 
Mkuu basi yaishe, kama hicho chombo ni chako basi hongera, lakini nampenda sana huyu mdada, mkitengana ni PM faster

upendo akianza kubadilika au kuchepuka ntakutafuta.....USIONE VIPAPENDEZA TU....
 
Back
Top Bottom