Mkuu SURUMA, huyu mdada nampenda, kwani ameolewa? nisaidie nampataje, contact tosha.
acha kumfatilia mke wangu unaijua MISITU YA MABWEPANDE?
Mkuu SURUMA, huyu mdada nampenda, kwani ameolewa? nisaidie nampataje, contact tosha.
Endelea kuangalia channel ten utakuwa unamwona,namba za nini au unataka awe mchepuko wako mkuu?