Kuna mda wanyama wanakua na huruma kuliko binadamu,trust me..!!ndo maana wazungu wanapenda vi pets ukivitreat vizur vinakua so friendly kuliko hata binadamu.
Huyo atakuwa amekapiga mkwara kwamba ukitoka tu nakutenganisha kiuno na kiwiliwili ili watoto wake wasije wakakuta kibudu.imebidi kawe kapole maskini kanasubiria kifo.
fuatilieni kisa cha huyo simba na mtoto wa nyani.ni kuwa huyo simba alimwua mama yake wakati amemaliza kujifunfua na alipogundua kuwa alikuwa na kichanga alikilinda mpaka alipotokea nyani dume(babayake)akamfukuza simba na kukichukua kichanga.very interesting. tafureni kwenye u tube.
Simba nae anajua fika kuwa akimla huyo Nyani hawezi kushiba hivyo ni kazi bure tu ni bora akae nae akiwa anaangalia ustaarabu mwingine wa kupata mlo wa kumtosha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.