Upendo haumo katika maneno

Upendo haumo katika maneno

Bodgad mzur huyu hana makuu kwanza ni mskvu, kwann hupend jaman?

Aaaa uko uko kumbe sawa, kwahyo unataka umpe uyu wang kama atahtaj?

Amekuwa bodigadi wako kwa muda gani?
nini majukumu yake ya msingi na yasiyo ya msingi?
huwa anapenda zaidi yapi majukumu msingi au yasiyo ya msingi?
kwanini anayapenda na kutekeleza anayoyapenda?
 
Mmm amekua bodgad wang kama wk2 zlizopta baada ya mim kupandshwa cheo, majukum yake ni kunilnda mim, yasiyo ya msing hatakiw kujua bos afanya nn na nan na wap, anapendelea kufanya yale ya msing coz ndio yalyomleta.
 
kwakuwa mimi ni meja genero, nitamfanyia asesimenti ya maana tu,
dada anatusubiri nyumbani
 
okei nimekuelewa, ni yale maomb ya kunena kwa lugha???

ehhhhee, kuna wakati huwa inatokea hususan nikiwa namfanyia mtu maombi, naamini hata wewe itatokea tu nikikuombea utanena kwa lugha
 
kwakuwa mimi ni meja genero, nitamfanyia asesimenti ya maana tu,
dada anatusubiri nyumbani

sawa mkuu kama wew ni meja genero kumbe hlo ni jukum lako kum-asses ili niwe salama zaid. Haya twende, kausafr gan?
 
ehhhhee, kuna wakati huwa inatokea hususan nikiwa namfanyia mtu maombi, naamini hata wewe itatokea tu nikikuombea utanena kwa lugha

haaa kumbe nami naenda kuombewa? Iknitokea nan ataintapret sasa icje kua lugha gongana tena..
 
wewe huombewi leo wala kesho, tutakubaliana siku ya maombi, KOKUTONA dada yangu anazijua hizo lugha, tutarekodi ili akatafsiri for for you.
 
Last edited by a moderator:

kumbe unapendana sana na dada'ko had hzo lugha unamrekodia daa very fantastic yang majcho 2...
 
Last edited by a moderator:
janeth1 usitoe data zozote kuhusu mimi tena, naona ushatangaziwa hadi ndoa. Inashangaza kuona mambo kama haya yanatokea pasipo taarifa za kina, naomba usitishe ndoa hii mapema kabla hayajakukuta makubwa.
 
meza yako imejaa miwine nenda kakae na Liverpool
 
Last edited by a moderator:
janeth1 usitoe data zozote kuhusu mimi tena, naona ushatangaziwa hadi ndoa. Inashangaza kuona mambo kama haya yanatokea pasipo taarifa za kina, naomba usitishe ndoa hii mapema kabla hayajakukuta makubwa.

mmh cjui nisemaje, Mwanyasi njoo nisaidie kujbu uku..
 
tangu lini mtoto anataka kulala na hela?
janeth1achana na hao watoto, twenzetu tulale, nina usimgizi wenye raha ya kuwa nawe.

Nimekuskia mme twende zao ata mie nina usngz wenye utam.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom